Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kina British Bulldog tunawasubiri huku mje mjibu hoja hapa 😁
 
JKIA is the biggest cargo hub in Africa. Wacha kujiaibisha.
Ndio comeback yako hiyo ya kishamba ivi unajua maana ya logistic hub/park kama uliyosema hapo mwanzo? A cargo hub is not a logistics hub. Lete hapa logistic hub from Kunya acha kurukaruka uanzishe mjadala wewe uhamishe magoli wewe hapa nakamata kende na vise siachii.
 
Sasa kwani unadhani hio Cargo hub inakua linked na nini? Bongolala ushamba itawamaliza.
 
Kampeni zenu huwa zina feli mara zote, kumbuka ya bomba la mafuta na ya Odinga kuwa mwenye kiti wa Au🀣
 
Hadi kufikia 2028 Tz itakua na viwanja Saba vyenye standards za CAF.

1. Lupaso stadia
2. Dom stadia
3. Arusha stadia
4. Fumba stadia
5. Yamga stadia
6. Amani stadia
7. Gombani stadia

Vs Two lavid stadias in kunyarenda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Barabra ya njia sita hii ni from city center to Chamwino. Kuna vimji vya ukunduni vinajisifu maendeleo kwa kujemga affordable housing projects. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mbona mnaweka ubao wa 5:1?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…