Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The main agenda saahii ni Tanga refinery hizi blablah zitakuja in place! Afterall tega sikio budget ya uchukuzi wiki hii inayokuja utaskia mradi wa Bagamoyo!
 
hamna kitu hata EACOP ilikuwa na kelele humu! Samia needs to deal with only Museveni, Dangote, Total n Rostam! Asi-entertain Ukunduni kwenye hili!
Dangote doesn't even rank that EACOP pipeline. πŸ˜‚πŸ˜‚ Na ndio maana amepeana very valid points why prefers Mombasa over Tanga.
 
Kuna fitna hapo inapikwa,binafsi kwa issue kama ile na huku tukiwa na advantage ya EACOP,tungeacha dangote ajenge refinery huko msa,halafu TZ na uganda tuwaombe china wajenge ya kwetu tanga,ni risk sana kitu chochote kushirikiana na kenya
 
Risk sana kushirikiana na hao mungiki kwa chochote kile
 
Kuna fitna hapo inapikwa,binafsi kwa issue kama ile na huku tukiwa na advantage ya EACOP,tungeacha dangote ajenge refinery huko msa,halafu TZ na uganda tuwaombe china wajenge ya kwetu tanga,ni risk sana kitu chochote kushirikiana na kenya
Kaka watanzania wanaakili sana. Hizo Kelele wanazopiga ni udalali tu wa kumdalalia Dangote ili Tanzania iweze kupoteza mwelekeo iweze kumkaribisha Dangote na wakenya wapate pesa ya udalali. Hiz janja janja tunazijua.


Unadhani issue serious kama hiyo ya kujenga refinery Serikali ya Tanzania isijue uwekezaji wa Dangote mpaka Ruto atutonye!!?

1. Tanzania haijawahi kuliongelea suala hili la refinery nashangaa wao wao wakenya waseongea ongea.
2. Tanzania ipo na mipango thabiti, miradi ya kimkakati hatuwezi kushirikiana na wasaliti
3. Dangote akijenga hiyo refinery huko Kenya Source of energy atapata wapi ya kuendesha hiyo refinery? (Tanzania kuna Gas na Makaa ya mawe, kenya wapo na nini?)

Ni mtu mjinga pekee wa kuwachukulia serious wakenya. Kenya is alredy dead country sasa wanatapa tapa ili wapate public sympath
 
Dangote doesn't even rank that EACOP pipeline. πŸ˜‚πŸ˜‚ Na ndio maana amepeana very valid points why prefers Mombasa over Tanga.
Ati? Museveni mwenyewe anawa-avoid! R u trying to mean Dangote can rival Total n CNOOC that own oil blocks in Hoima? Wacheni upumbavu ndio maana JPM aliwatia ndani wakina Keter Tanga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…