Toa huo uchafu apa, ngoja tukuonyeshe how city has to lookYani gorofa mbili za 15 floors baboon anatupigia nayo kelele kweli kweli, sijui siku warafika hapa where every building under Construction is a 30 floors watafanya nini😂😂👇👇
View attachment 3586017
Inapita Tabora UG watachukua mizigo yao Tabora which is nearer than MombasaWill SGR pass through lake Victoria?😂😂🤣😂
ngorofa imeanguka! jamaa anaanza ground zero pale Ukunduni!