nyangau mkenya
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,705
- 3,232
I guess Somalia, South Sudan and Haiti are rich juu hawakoπππππππ
View: https://www.instagram.com/p/DXZNYz_CM71/?img_index=1&igsh=eXE5cnkyNmY1NGRh
Ni maandalizi tu bado kdg, t3 capacity yake bado haijafikiwa. Kumaintain terminal building na facility zake sio mchezo ni gharama kubwa, project iliyokuwa karibu karibu ni hotel mpango itumike wkt wa AFCON, maybeNimesikia JNIA Terminal 4 kujengwa
Nilikuwa namsikiliza Mkurugenzi wa ATCL anasema Terminal 4 ni kwaajili ya Air Tanzania tu.Ni maandalizi tu bado kdg, t3 capacity yake bado haijafikiwa. Kumaintain terminal building na facility zake sio mchezo ni gharama kubwa, project iliyokuwa karibu karibu ni hotel mpango itumike wkt wa AFCON, maybe
Ngoja tuoneNilikuwa namsikiliza Mkurugenzi wa ATCL anasema Terminal 4 ni kwaajili ya Air Tanzania tu.
si ndo ikogo ivo alwaysNgoja tuone