Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa unajua zaidi kuhusu Skyboxes kuliko FIFA?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
Izo structure nmekuonyesha za stadiums zote duniani wao hawajui skybox wewe ndo unazijua, alafu usituletee blogs za kishamba kama hujui skybox nenda kwenye ile video ya amahoro wameelezea vizuri na wameonyesha skybox ni ipi
 
Izo structure nmekuonyesha za stadiums zote duniani wao hawajui skybox wewe ndo unazijua, alafu usituletee blogs za kishamba kama hujui skybox nenda kwenye ile video ya amahoro wameelezea vizuri na wameonyesha skybox ni ipi
So Leo hii FIFA ni kishamba?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

 
So Leo hii FIFA ni kishamba?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 3576815View attachment 3576816
nop i meant the ones you always describe as saying 52 skyboxes in talanta hio imesema its often refereed but it isnt a skybox, however i provided a youtube link ya amahoro FIFA STANDARD stadium wamekuonyesha hii ndo skybox na bado unabisha sasa unataka tukusaidie vp
 
Kati yako na FIFA tuamini Nani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚

View attachment 3576819View attachment 3576820

mbna huu mjadala ushaisha mda mrefu nenda kwenye ile video ya amahoro, ile ni FIFA standard stadium na ndo the most modern in the region wameonyesha kila kitu kuanzia VIP areas mpaka the place ya skybox why are you making it a long story na video ipo inaonyesha kabisa this is a skybox
 
Talanta Stadium will have 52 skyboxes according to design. No other stadiums in East Africa have Skyboxes including that Amahoro.

Here is a FIFA layout of a skybox.

 
Huwa ukilelemewa unasema mjadala umeisha, wewe kama umemaliza mjadala basi shauri yakoπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚

Amahoro has VIP lounges and not skyboxes. Utakuwa mjinga Hadi lini?πŸ€£πŸ˜‚
 
kwan English hujui, huelewi mtu akikwambia "this is a spoon but sometimes people refer it as something else"
cant you google apo skybox ni ipi na VIP boxes ni zipi
Today I'm skinning you alive πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£

Here is a skybox, show us something like this in Amahoro Stadium.

 
Huwa ukilelemewa unasema mjadala umeisha, wewe kama umemaliza mjadala basi shauri yakoπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚

Amahoro has VIP lounges and not skyboxes. Utakuwa mjinga Hadi lini?πŸ€£πŸ˜‚
mm i got time kama unapenda ubishi i always tell you that, however we have choosen to grow up! Unless unataka tuanze kuchafua thread for non sense, here is a practical example maaana nmekuonyesha pics na nmekuwekea mpaka explanations za what a skybox is bado unaleta ubishi, sasa here is the video showing what a skybox is apart from that then it better you stay with your own belief


View: https://youtu.be/xpbRx_3ZCOc
 
Tufanye hivi, Amahoro is a FIFA standard stadium and the most modern in the regio, video hii apa

View: https://youtu.be/xpbRx_3ZCOc
Go and watch it and show us where the skybox is located, mjadala usiwe mrefu sana
So kama Amahoro ni FIFA standard stadium does it mean that it must have Skyboxes?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚

Talking of most modern stadium in East Africa πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Skybox definition according to FIFA. Show me something like that from Amahoro πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…