babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,450
- 36,092
🤣 🤣 By who? sisi tuko generous sana, we make the bid alafu tunawapa maskini nyie sasa imekua nongwa 🤣
How many times has Tanzania qualified for AFCON and how many times has Goons republic even qualify to appear? CHAN yenyewe mliingia kwa sababu ya BID from tanzania lini mngecheza?Juzi tu mmeanza kuingia AFCON na bado hata mko na the worst loosing record. So nyamaza !… 😆😆
tumeshawaonyesha apa bado wamebaki na kelele 🤣 🤣 , kwanza nawaonea huruma maaana kama kuna mkenya ndan 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 amna rangi ataacha kuona! Hao wengine hawana ata shida sana, wakijieleza vizuri things will work well but kama kuna mkenya ndan 🤣🤣 ajiandae kuita media maaana hawajuagii sehem ya kutumia akili na sehem ya kupayuka na zile forehead zao
lakini kenya hata wakiwahi nyumban wanaenda wap? kwenye mabati?7pm and the streets are already empty?🤣😂😂🤣
alafu mbna hatuskii mnasema RAO itakua na GOAL LINE TECH pamoja na VAR? shida ni nn?Talanta, Nyayo and Kasarani will definitely be in category 4 wether you like it or not.
Choosen by WHO? are you sure you have any idea of what goes through Bidding? BTW kuna AFCON 2028 pia 🤣 🤣 na CHAN imebrandiwa kua African NAtions league lakini bado hamuonekani kwenye ushiriki 🤣🤣Wether Bid or not, Kasarani was chosen ahead of Makwapa Stadium.