Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dunia kweli simama nishuke. Mimi kuitwa mshamba na wewe .? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ haya sawa kaka.
Kama maana ya dish hawezijua. How better can I describe you if not ushamba?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
 
Hizi vitu kwa kunyans ni mpaka wangoje investments za wazungu.. bongo hizi ni uwekezaji za kawaida tu za locals n zipo every where (every corner of the city hadi mitaa ya uswahili) ndani ya Mwanza alone. πŸ‘‡πŸΎ
View: https://vt.tiktok.com/ZSH7yqKH8/. Kama ka mgahawa kadunchu ka kfc ni flex huko kunyarenda basi you guys have a looong way to reach our levels.
 

We mbilikimo unaona Kisumu hadi kuna Miniso a Japanese retailer. Watu wa Kisumu sio lazima wakuje Nairobi kutafuta hizi international brands.


 
We mbilikimo unaona Kisumu hadi kuna Miniso a Japanese retailer. Watu wa Kisumu sio lazima wakuje Nairobi kutafuta hizi international brands.


Unajua kama Dar ni China ndogo.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hizi ni flex kwenu nyinyi wazee wa ushagoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…