Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,139
- 107,698
hujui kusoma nyoko wewe 2024 n 2025 SGR TZ has transported more PAX than Ukunduni!๐ Ok how does this work? which year did Tanzania sgr do more number than Kenya sgr ever?
What's Kenyans numbers from the same period
Na hata hiyo 2024 treni ya Dodoma ilianza mwezi augusthujui kusoma nyoko wewe 2024 n 2025 SGR TZ has transported more PAX than Ukunduni!
Revenue ni ngapi?hujui kusoma nyoko wewe 2024 n 2025 SGR TZ has transported more PAX than Ukunduni!
Halafu kigoma si Ile mikoa ambayo ndo the least developed ,yaan hii ni kama kulinganisha na wajir ila wajir hata zile mashine za posho mill hawana,๐คฃ๐คฃ๐คฃTanzania inajenga Viwanda Kundustan wanajenga fremu za maduka ๐๐๐๐
View: https://www.instagram.com/p/DXJvfG6DDcs/?igsh=Mmg4Yng0cm02eGJt
Hizo stori zilikuwa za miaka hiyo wakati miundombinu ya umeme na Barabara haijafika ila Kwa Sasa mambo ni ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅHalafu kigoma si Ile mikoa ambayo ndo the least developed ,yaan hii ni kama kulinganisha na wajir ila wajir hata zile mashine za posho mill hawana,๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Rukwa itakuwa ni moto mwingine, hiyo mikoa wanalima ila baada ya muda mahindi Bora hata dar๐คฃ๐คฃ๐คฃHizo stori zilikuwa za miaka hiyo wakati miundombinu ya umeme na Barabara haijafika ila Kwa Sasa mambo ni ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ
Bado Mikoa isiyozidi 4 kupata umeme mkubwa wa kusapoti Viwanda vikubwa.
Mwaka huu wanazima kitambo yadizeli Rukwa na kuwasha umeme wa gridi ya Tiafa wa kv 400
Hakuna mtu ambae Kwa Sasa anahama Mkoani kwenda Dar au kutoka Vijijini kwenda mjini Kwa sababu kila sehemu Kuna fursa umeme upo,maji yapo na Barabara zipo.Rukwa itakuwa ni moto mwingine, hiyo mikoa wanalima ila baada ya muda mahindi Bora hata dar๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ni ngumu TRC kununua Trucks. Itakuwa nje ya malengo yaoHuu ndo muda wa trc wangejiongeza ilitakiwa waweagiza trucks za lng kwa ajili ya kutoa mzigo isaka kwenda Kampala na treni ya mizigo ianze shushia makutupora wafanye transfer kwenda mgr
Kuna umuhimu shirika lijiendeshe kibiashara , tuachane na mentality za kusema haiwezekaniNi ngumu TRC kununua Trucks. Itajuwa nje ya malengo yao
Hizo zote ni vibanda except Makwapa.
- Benjamin Mkapa stadium
- New Amaan stadium
- Azam Complex
- General Isamuhyo Stadium
- Tanzanite Kwaraa stadium
- Mkwakwani Stadium
- CCM Kirumba stadium
- Airtel Stadium Black Stars
- Gombani Stadium
- KMC Comolex
Upcoming๐
- Arusha Stadium
- Dodoma Stadium
- Fumba stadium
Underrated๐
- Nyamagana stadium
- Tuliani stadium
Zuzu kwenye ubora wake ๐๐Kelele za sijui CAF, sisi tunatambua FIFA bana, CAF ni wa nchi ndogo ndogo kama bongoslum. ๐ ๐ ๐
View: https://x.com/ntvkenya/status/2044460032516030677?s=20
we have at least three technical centers in Tanzania!Kelele za sijui CAF, sisi tunatambua FIFA bana, CAF ni wa nchi ndogo ndogo kama bongoslum. ๐ ๐ ๐
View: https://x.com/ntvkenya/status/2044460032516030677?s=20