si ndo izo TFF wamezikataa ukuni pale wanajenga stadiums 2026 zinafanana na zile za CCm za miaka ya 1970s!
hahaha toka lini hii map imeanza kutumika
ila kuna kaukweli apa japo imekaa kiutan
ivi pilots hua hawazunguki pale mt kenya maaana naona za moshi tu
Just go to Google search each of the 47 counties stadiums and you will see the progress.πππ nimecheka sana. Hebu tuzione hizo stadiums zenye you guys are building.