Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,226
- 107,849
doooh mnataka kulipiwa 🤣 🤣Sawa nyamwezi. Ambia hao wa kigoma watulipie basi. Hatuna pesa 😂
Mbona anatumia nguvu kubwa sana kutetea!Ukwel ni kwamba Hio Pesa HAIPO 🤣 🤣, alafu $30M sio hela ya kusubiria bunge lipitishe, kuna single people are worth even more than that kigoma
I have taken a flight that did the same for Mt. Kenya …it’s a common thing. Why do you get aroused by simple things ?.. how Mshamba are you ?Sasa nan atawazungusha kule Mt.kenya
View: https://x.com/AfricaFirsts/status/2036678055465275699?s=20
USA wapi?..😆😆Hii ni kama tu USA
Iko wap evidence 🤣I have taken a flight that did the same for Mt. Kenya …it’s a common thing. Why do you get aroused by simple things ?.. how Mshamba are you ?
Mbna uganda hawajitetei ivi 🤣Mbona anatumia nguvu kubwa sana kutetea!
Ajibu swali, wamelipa au hawajalipa.😂😂😂
Hawa wanabishan na sisi kivipi wakati ni SGR yao ni 30-36 km na inawachukua 45mnts kwa treni kufika umbali huo?wanaopaswa kubishana na sisi kuhusu modern SGR!
View: https://www.instagram.com/p/DWO-4d8gl8w/?e=1747e3e2-51b4-4015-8cfc-b52ee2e068c3&g=5