Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tukisema Dar es salaam is slum wanapiga nyenye hapa. Ona hata mahali hiyo brt yao wanapiga nayo kelele hapa inapitia! Those are shanties for luck of a more befitting word
Acha ushamba BRT yetu haijaishia city center tu, imepita kote mpaka huko mnapopaita slums, nyie slums zenu kuna hata barabara za magari kweli?
 
roads opens up everything for business and development
But even roads, Tanzania has got better and longer tarmac roads network than Kenya, Kenya concentrates with fanfare roads net work like high ways and flyovers, but many counties in Northern and North east don't have roads, in Tanzania all regions are connected with tarmac roads, Kenya can't match.
 
link plz😀😀😀😀😀
Wewe juzi nilikuitisha link ya kudhibitisha kwamba Dar ilihandle 17 tons ukaenda chini ya maji sasa leo waniitisha link! link si shida kwangu, hiyo nitakupatia ukitaka lakini kabla ya hapo, leta ile ya dar port nilikuitisha
 
As of June 2016, only 36% of Tanzanians were connected to electricity, a very big difference from your 68% figures you want us to believe here. To add salt to injury, only 7% of your rural folk have electricity. More interesting is the fact that the government projects to reach 50% connectivity by 2025, kitu serikali yetu ilishafanya kitaaaambo! Nimekuletea links mbili hapo chini, tafadhali zisome zote

Rural Electrification - TanzaniaInvest

Power Africa in Tanzania | Power Africa | U.S. Agency for International Development
 



You add no value here idiot.....get lost.Sisi hatujui kuwaficha........Mtajua hamjui. nimegundua baadhi ya vilaza wa ldc Tanzania lazma wapewe vidonge
 
Kama ungetaka kujadili issues basi ungejadili jinsi ambayo Magufuli anaiharibu nchi. Karibu katika Jukwaa la Siasa ujionee na tujadiliane.
Mnavyojadili huko ni too low for us,
Annael ameshakujibu we don't discuss people's weakness anymore,
Huku kidogo kupo advanced, you don't have information, you don't speak, ukikaa huku utaelewa hata matumizi ya hiyo Google yako..
Here we talk about evidence based issues, sio kuropoka kwa mihemko yenu huko Mara Lisu, Mara Sijui Mdee, Mara sijui Sisiem,
Man that's too low for us, mambo hayo yatatupunguzia uwezo wa kufikiria,
Nakushauri Ukitaka kujifunza ondoka hayo majukwaa ya mihemko uje majukwaa ya Kimataifa.
Ukiendelea kukaa huko utakuwa small minded milele.
 



hiyo nchi ina umaskini wa hali ya juu sana.....kujenga permanent house ni miujiza huko kwao.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…