Tuangalie kama wako salama kwanza! Maana wako kimya…Geza Ulole tuwapumzishe iki kipindi cha mvua ama tuendeleze?
View: https://x.com/Kenyans/status/2030253695045132642?s=20
mbna indian ocean itatolewa bila kupenda
na ndo kwanza zimeanza
Hii ndio road to Singapore? 😂😂😂
Ukabila umekujaa kama nyang'au wengine tu😎Mbona umekerwa?
Hii sio Singapore. Hii ni single+upwiru. What is this 😳
Linapokuja suala la corruption Ruto namuheshimu sana. Ni mpole ukimuona anavyoongea na wananchi wake lakini anafanya corruption mpaka corruption yenyewe inashangaa 😂😂🤣 🤣 🤣 Jameni hawa watu watakufa sasa
View: https://x.com/brenda_ogo30333/status/2029640625419669656?s=20