ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,518
- 89,960
Maendeleo kufuatiliakudadeki mbeya watu wabad sana, seats ni ngap?
Imebidi niangalie ni usafiri upi? nimekuta ni mikebe!usafiri wa kenya bana 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/ignyharaz2/status/2029449062634713542?s=20
yaaani mnashindwa kuwawekea abiria hivi
View attachment 3552944
umeona uwanja mpya wa singidaMaendeleo kufuatilia
hizi gari ni mochwari inaotembea, wanapenda kuua watuImebidi niangalie ni usafiri upi? nimekuta ni mikebe!
View: https://youtu.be/vyvhPCVYneY?si=ldv60PYG9lavmqhD
super metro huijui? ni maarufu sana ukishindwa kulipa nauli konda anakurusha nje ya gari likiwa linatembeaImebidi niangalie ni usafiri upi? nimekuta ni mikebe!
View: https://youtu.be/vyvhPCVYneY?si=ldv60PYG9lavmqhD
Nimeona wanajigamba wakati hata pale JNIA zilipaki hizo Emirates na Qatar nk na sijaona mtu akijigamba,Imekuwa majigambo ya Wakundustani! Chaaa... Wakundustani kwa misifa! Yaani hamna nchi inayoona cha maana kwa hili ila Ukunduni ipo twitter ikijisifu! Yaani ni aibu!
Uzuri hakuna Super Metro hata moja imechakaa hivi ukipata hata moja nitag nifunge hii account. 😂 😂 😂Imebidi niangalie ni usafiri upi? nimekuta ni mikebe!
View: https://youtu.be/vyvhPCVYneY?si=ldv60PYG9lavmqhD
Kwani Likoni hawana utaratibu kama wa Kivukoni yaani ma-gate yanayozuia wanaotoka na kuingia kutokutana?