Hii sekta ya kutumia SGR kama means ya miundombinu, inakua big time! Yaani una option mbili ndege ama SGR! Hapa tunangoja Afcon2027! Yaani unatoka Dar moja kwa moja mpaka Kilosa station then unapokelewa na Tourguide!
Nigeria & parts of Tanzania
ingekua ule uwanja wa dodoma unatumika ingekua mashabiki wanatoka dar straight kwenda dodoma umefika, ingekua sgr ya wale jamaa unafika kesho refa ashapigwaHii sekta ya kutumia SGR kama means ya miundombinu, inakua big time! Yaani una option mbili ndege ama SGR! Hapa tunangoja Afcon2027! Yaani unatoka Dar moja kwa moja mpaka Kilosa station then unapokelewa na Tourguide!
View: https://www.instagram.com/p/DF98nuptMxz/?utm_source=ig_web_button_share_sheet&igsh=ZDNlZDc0MzIxNw==