Your in desperation those areas are already demolished, unless unataka to create your own happinessππgongo la mbotoπππππ...alafu ikue umetoka safari na ukuwe umebeba mizigo kama huyu jamaππππππ... View attachment 3539842
Alafu sidhani kama hawa watu wanatumia gas maisha ya dream house na gas nikama maji na mafuta hazipataniπππππhawa bila mama nitilie na chips mayai wangeumia sanaa broπππ...Unukiwe jasho kwa b hara t, sahizo umesimama kutoka CBD hadi Gongo la mboto. Alafu ukishuka kwa station bado ukona safari ingine ya kilometer tano ya kutafuta nyumba yako ndani ya vichochoro, ufike umechoka kama punda na bafu ziko nje bila roof, unaoga maji baridi ukiumwa matako na mosquito. π π π Ukienda kupika food upate gas imeisha na kurefill ni kilometer tano tena kurudi kwa main road. π π π I can't.