Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Endelea kuota hivyohivyo
 
The longest dual carriageway in EA iko Dodoma 110km hiyo yenu bado haijawa barabara
The longest operational dual carriageway is Nairobi-Thika-Kenol-Marua road at 139km. Rironi -Mau Summit which is currently under Construction will be 175km then later on we will have Nairobi -Mombasa Expressway at 450km.

There's nothing Tanzanians can tell us about roads.
 
kwahiyo Tanzania that is twice the size of Ukunduni haina project za grid transmission lines?
 
Unavyozungumza kama hakutakuwa na Dar - Dodoma Dual carriageway 470km, sasa hivi Dodoma 110km, mbeya - Tunduma 100km under construction, Arusha - Holili 100km under construction
 
Mnashangaa Tanzania kutaka kuuza dhahabu zake ila hamshangai kunyaland kutaka kuuza majengo ya serikali na mali za umma. 😂😂😂
Wasichojua ni kwamba ni mandatory kwa kampuni za madini kuuza 20% ya gold output yao kwa serikali in Tanzanian Shillings halafu sisi tunauza kwenye soka la dunia in USD. Hapo tunaondoa pressure kwa shillingi na kuifanya iwe backed up na Gold. Zoezi la kununua na kuuza ni endelevu
 
kwahiyo Tanzania that is twice the size of Ukunduni haina project za grid transmission lines?
Hio TANESCO yenu haiwezi hata karibia half of the projects done currently by KETRACO. All our major cities have stable power, hadi Konza inaundiwa line yake to be launched this year.
 
Wao wanachojua ni kucopy post na wanaharakati wenye agenda zao. 😂😂😂
 
Sasa wewe unataka NSSF yenu performance yake iwe vipi wakati hamko prudent kwenye portfolio management hela zote mme lock kwenye government bonds hakuna extra disposable balance infact NSSF iko kwenye tight fiscal space there is only Ksh. 3.9b in cash and bank balances. Kila contribution ikija Kasongo and his gang anachota halafu unategemea NSSF ifanye miujiza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…