hakuna uwanja una seats nzuri duniani kama talantaNimeona hii kwa comments za hiyo tweet. 😆 😆 😆
View: https://twitter.com/allawi_mshana/status/2014280816713449930
Yani Watanzania wanatamani Sana Talanta iwe Yao.😂😂😂Nimeona hii kwa comments za hiyo tweet. 😆 😆 😆
View: https://twitter.com/allawi_mshana/status/2014280816713449930
There is no Kenyan here who has ever claimed Nigeria is more developed than Kenya. Wacha kujitekenya ukicheka mwenyewe, Nyinyi ndio mnaijua Nigeria leo, sisi tumeijua kutoka enzi zile and we've always had a low opinion of them infrastructurewise. Wale labda kwa muziki ila kwa miundombinu bado sana.We did tell Kenyan fools on here countless times, lakini kwakua ni wajinga na malofa bado walitwek kwa Nigeria due to hype.
View: https://x.com/Ayieko__/status/2014274568630759681?s=20
Ukunduni Ruto aliacha kulipia tuition fee na NHIS pesa akajenga cheap housing na talanta! saa hii 80% ya Wakunduni wana njaa!
Unasema waache kuchezea hapa fainali kisa kuna keyboard warrior wa Tandale hapendi Kenya? 🤣 🤣
View attachment 3532991
Wacha kukosea BM stadium heshima.If Kenya’s new stadium has seats like the Benjamin Mkapa Stadium in Tanzania built in 2007, what is the point of a new stadium?
Nini kimetokea mpaka nyang'au analalama?We did tell Kenyan fools on here countless times, lakini kwakua ni wajinga na malofa bado walitwek kwa Nigeria due to hype.
View: https://x.com/Ayieko__/status/2014274568630759681?s=20
Sasa wewe Forex Scammer unajua nini kuhusu stadiums?Wacha kukosea BM stadium heshima.
Huwezi fananisha BM stadium na vikapu.
Btw VIP ya BM stadium ni foldable seats.
Remember Kasarani Stadium built in 1987 has better seats than Makwapa which was built in 2007.If Kenya’s new stadium has seats like the Benjamin Mkapa Stadium in Tanzania built in 2007, what is the point of a new stadium?
Does Benjamin Mkapa Stadium have curtain walling?If Kenya’s new stadium has seats like the Benjamin Mkapa Stadium in Tanzania built in 2007, what is the point of a new stadium?