Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Your desperation levels have hit the ceiling! Don't you find it funny that you post everything you stumble on online? And making such posts every two minutes?
sasa shida iko wap? kwan kuna news ya uongo nimepost
 
It's rubbish. Nothing outside SA and Morocco can touch Talanta.
Tatizo lenu nyie Mbwa ni majigambo na kelele nyingi. The same said kuhusu your SGR na trains zenu.

Uwanja wenu ndio kwanza uko kwenye hatua za ujenzi.
Subirini ujenzi umalizike tujue mbivu na mbichi ni zipi then tuje tulinganishe upi ni higher quality.

So far, design ya Talanta kwa nje ni sawa na kapu la kuendea sokoni kununulia Dry fish, Bamia na Mihogo.


Nicxie mwaiofhawaii​

 
Dude what’s your point exactly? Are you just randomly spamming X posts here for no reason at all?
HAWANA UHURU WA HABARI AU KUKOSOA NDO MAANA MTU ANAFWATILIA HABARI TAMU ZA KENYA
Usipo imba Samia suluhu CCM ni watakatifu na Kila kitu Iko shwari tanzagiza utapotezewa.
 
Talanta ipo level za kimataifa
 
 
I once told them that if Arusha Stadium was indeed more beautiful than Talanta then it would have been appearing on those Stadium channels and websites. In Africa it's always Talanta and Moroccan Stadiums.
 
acha kulinganisha vikapu na vitu vibovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…