Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wewe wacha upuuzi nani kakuambia Mkapa si modern kwa CAF standards? Mechi ngapi za CAF zimechezwa pale?
 
wewe wacha upuuzi nani kakuambia Mkapa si modern kwa CAF standards? Meche ngapi za CAF zimechezwa pale?
ni modern kwa CAF standards however CAF require a new stadium always kwa ajili ya kufungua na kufunga with state of ART, another thing direct destinations and ubebaji wa wageni ile sku ya kufungua na kufunga! all these iliamuliwa nairobi ibebe ilo jukumu, hata ivo uganda na tanzania hakuna alietaka kujenga uwanja mwingine mpya wa 60k kwan hauna matumizi baada ya michuano, kenya walivoskia hivo wakarukia ilo dili na hivo ndo nyumba bovu lilimwangukia kenya
 
Meanwhile

View: https://www.instagram.com/p/DTKlrp8Difh/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
 
skia hii punda 🤣 🤣 🤣 , hata prince moulay haina izo features! hakuna uwanja afrika unaweza kua na features zote hizo na hakuna serikali inaweza kuhandle amount per match for all the tech, all the tech unaziona VAR are temporary installed and after the match zinaondoka, unajua how much it costs to run VAR just for a single match leave alone buying?
 
🤣🤣🤣 we ni mjinga
1) Alieweka bid ya pamoja AFCON ni tanzania, kupitia Wallace karia, kwa lugha rahisi unahost kwa kutumia mgongo wa tanzania, kenya haina vigezo vya kisoka

View: https://youtu.be/JtTYPOFZ5B4
2) AFCON haiwezi kufanyika kwenye nchi ambayo haijakua kisoka lazima uwe football nation
3) Mkapa has standards za CAF but umetumika sana sometimes it looses some quality
4) AFCON haiwezi kuingia nchini kwako kama hujajenga uwanja mpya wa ufunguzi na kufunga

5) Apart from kenya umeona uganda ama tanzania wakijenga any new 60k stadium? overall we ni mjinga na unadhan kwamba mlikua so deserving while the field was an agreement, hakuna anaetaka kujenga uwanja mpya because they use sense! Uwanja wa moroco prince moulay ni moja ya viwanja vya world cup na capacity yake ni 50k apo and they have the strongest leagues, however ukiachana na huo uwanja vingine vyote ni 20k - 40k seats, ni nyie tu mliangushiwa jumba bovu mkakubali and we like it that way, si mnapenda sifa

6) Tanzania is building 2 new stadiums moja ya arusha 33k na mwingine wa dodoma 40k, if they were stupid wangejenga liuwanja likubwa limoja la hata 100k but there is where utafauti wa sifa na uhalisia ulipo
 
eti uganda and tanzania didnt decide?

wewe bana umeangushiwa jumba bovu deal with it, baada ya michuano utajua utaupeleka wap huo uwanja ila ndo ishakula kwako
 
Thats what we want! 🤣 🤣 🤣 tunataka muendelee kua na modern stadium ivo ivo hata ikiwezekana for the next mjenge na mwingine iwe 10 kama talanta 🤣🤣 na ikiwezekana muweke apo apo nairobi maaana utaweka wap sasa kwingine kwenye wtu? apo apo nairobi jengeni zingine kumi kama talanta mue na the most modern stadium 10 nairobi

BTW in future mhost kabisa wenyewe AFCON 🤣

Nyie cha muhimu jumba bovu lishawaangukia we are happy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…