Ukubwa wa Kigamboni ni 2/3 Ya Nairobi nzimaDar kuna maeneo mengi sana.
1. Kigamboni
2. Kawe
3. Mbezi
4. Upanga
5. Mikocheni
6. Msasani
7. Oysterbay
8. Masaki
9. Sinza
10. Morocco
11. Makumbusho
12. Victoria
14. Mwenge
15. Ubungo
16. Kunduchi
17. Ununio
18. Tegeta
19. Boko
20. Bunju
Na sehemu zingine nyingi mno. Kila kona ujenzi unaendelea. Na maeneo mengi niliyotaja hapo ni kinondoni.
Tukianza kuweka mtaa kwa mtaa. Watani wetu mtakimbia.
Acha kusikia wewe. Soma hapaMji chafu ugly na vumbi.
the
video cant play, just describe the kind of place it is or post a photo or two with a description.
Nairobi nimefika ni kadogo compared to dsm but mda huo nilikuwa naona kadogo plus mijengo mirefuYap. Two Rivers iko Kiambu. Alafu bado unaskia mwengine akikwambia Nairobi ni 696 sq. km pekee. Hivi Dar unaweza drive 80km (Athi River to Thika) kama bado uko mjini?
Firt am not a profession photographer
Secondly hizo picha nimeamua kupiga maana hakuna apa aliokuwa anaonesha upande huo
Cha tatu kama unaweza piga na wewe maana simu unayo
Ukwel ni kuwa nairobi ni mji mdogo uliojengeka katikati tu ila DSM majengo mengi sana na marefu pia
HAHAHA are you sure this bridge can hold it against Nairobi's roads? ok
Hahahaa umezidis porojo kadadaaNairobi ni world class city...
ata ukifika oslo,Salvador, wellington, Osaka, Vancouver utajibiwa vizuri....
Si tunajenga buildings bila plan.
Ulileta bank of Kenya au???? Jengo na status ndio tuanze hapo