Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya ni nchi ambayo inaprove kuwa GDP sio everything. Wana bigger paper economy kuliko Tanzania lakini Watanzania wanaishi maisha mazuri kuliko Wakenya wengi
Hivi inakuaje hapo Kibera watu wanaishi kwenye nyumba zinakaa mabanda ya nguruwe 😆😆
 
Aisee, hii ni ya majuzi au zamani?
 
Don't you get tired of stealing other people's pictures?
 
Mnuka nnya anakwambia ni screenshot nmeiba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
By the way sikuwa nadhani kama picha zangu zingewastua namna hii, hawa jamaa aisee kweli wanachekesha, eti wamestuka kabisa kwa vitu vidogo namna hii, sijui hawa ni watu wa aina gn tuna argue nao aiseee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…