Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umbwaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Semeni one term!πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 

Attachments

  • 20250822_215936.jpg
    306.6 KB · Views: 31
Wachezaji ni wapuuzi pia! Hamna kipindi wamekuwa wanapewa support Kama hiki!
hakuna kocha bana wachezaji ndio uwezo wao ww umeona leo fitness gani tuliokua nayo wachezaji wanaanguka ovyo tu hakuna mbinu yoyote inayoonekana kutoka kwa mwalimu, tunasgindwa kutafuta makocha wenye mbinu na experience tunaendelea kukumbatia kisa tu mpemba basi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…