Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ule mji wao mchafu uliochakaa ambao huwa sijui wakazi wake wanaishi wapi umeshaleft group tayari. 😂😂😂
Hii itakua balaa mkuu, unajua kuna kuwapita na kuwavuka, tunachokifanya ground ni kuwavuka. 🤣🤣🤣 sijui watashikilia wapi. Mana hiyo Fumba ina projects za kimkakati nyingi mno zikiisha Mombasa itakua ni Pemba iliyochangamka.
 
That's 2013. That year Morocco was ranked number 95 by FIFA. It was even lower than Uganda. We beat them when they're one of the best national teams in the world and the best in Africa. Sit down.
Ndio ujue sasa tangu 2013 nyie ndio mnakuja kuona mwezi leo 🤣 🤣 🤣 🤣. Tanzania inaogopwa na watu wote
 
Attachments

  • Screenshot_20250629-110856.png
    2.8 MB · Views: 28
  • downloadfile-21.jpg
    1.2 MB · Views: 27
  • downloadfile-29.png
    353.1 KB · Views: 24
  • downloadfile-55.jpg
    54.9 KB · Views: 31
  • downloadfile-51.jpg
    140.8 KB · Views: 28
  • downloadfile-58.jpg
    60.9 KB · Views: 25
That's 2013. That year Morocco was ranked number 95 by FIFA. It was even lower than Uganda. We beat them when they're one of the best national teams in the world and the best in Africa. Sit down.

That's the full team including their international players. This team at CHAN doesn't even come close to that. They are still a pretty good team for CHAN but this is CHAN not AFCON. Completely different.
 
That's 2013. That year Morocco was ranked number 95 by FIFA. It was even lower than Uganda. We beat them when they're one of the best national teams in the world and the best in Africa. Sit down.
2013 Tanzania ilikua nafasi ya 156 katika viwango vya Fifa.
Sasa sijui excuse yako ni nini hapo!?
Kutoka nafasi ya 95 hadi 156 ni nafasi ngapi Morocco ilituzidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…