Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha ujinga hizo engine wala chassis na other parts hazijatengenezwa Kenya hizo zimekuja kama CKD parts for assembly tuu. Nyie zaidi ya kukaza bolts and nuts hamna akili nyingine hapo.
Wewe ndio mjinga, all cars are built on an assembly line, whether it's an automated assembly built by robots, manual assembly built by humans or CKD assembly. Parts manufactured elsewhere are usually put together on an assembly line to produce a car.
Unadhani Isuzu hua wanaunda gari complete then wanabomoa to ship it to Kenya to be re-assembled again. 🤣🤣🤣
 
You said 100% made in Kenya hapo ndipo tunapotofautiana wakati we know you don't manufacture any vehicles except BJ50 and 60 models. Kama unabisha niweke picha za magari ambayo mnatengeneza hapo?
Yes 100% ju hio gari haikujengwa on an assembly line in another country. Ndio maana chassis huandikwa produced in Kenya.
 
Hizi gari TZ hubebea matikiti na mihogo tuu toka shamba nyie huko kaskazini mnabebea nini nazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…