I google I found this PPF Headquarters, Dar es Salaam | 1274176 | EMPORIS
Lete link ya hio web hapa kila mtu ashuhudieIngia kwenye website ya estim construction ldt halafu angalia ongoing projects
Bange mbichiWivo.....kwani..izo basi mnaita brt zina wa2 kweli amazinanyura 2, ju dar tao hamna wa2 kabisa....
silijuiYou must be kidding . jengo kubwa kama hilo hulijui jina ?????
russia ndio inasumbua dunia kama hujuiπππMnafuata nyayo ya Russia mtabaki LDC Milele
Are you seeing what am seeing in that aerial view??Huyu ni architect anaye deal na majengo mbali mbali Dar ..and for now its on floor 36 and its above 160m we endelea kukaa na hizo outdated data za emporis ..emporis hawaja update data zao ..kuhusu ppf HQ
hii ndio official link???πππππAta Wewe unakunia kwa msitu
Atajulia wap mkora huyorussia ndio inasumbua dunia kama hujuiπππ
wacha construction progress ndio iongee , ntarud June watakuwa washafika 40 floorsKwenda uko...133 metres ata haifiki Times tower jengo LA 1990
mm ni mchaga kutoka moshi bogus weweAnafaa arudi kwao...ananyanyasa watz na bado ni maskini
nyie munayo stadium ππππ niliona stadium ya mombasa haina hata viti vya kukaaStadium ya kazi gani....yah kujisifia jf na hamuna misbezo kabisa
uko tayari tuanze alaf tuoneπππππamesikia over 20flrs akadai wacha aende vile anakam
haya tusubiri kwani tanzania hua inaongea miaka 10 tulikua kimya leo munatahamaki na povu basi tusbiri 2020 lamu port au bagamoyo port na hii ahadi nakuekea nitakutafutaππππYani haiwezekani kabisa..kama port ya bagamoyo
Ushaanza maswali mengine, ashawaonyesha lipo 160m high na sio 133mAre you seeing what am seeing in that aerial view??
Google is there for youLete link ya hio web hapa kila mtu ashuhudie
stadium ya kazi gani ndugu?ππππ maridadi au? umesahau kwa michezo tz haina tofaut na kinyesiπππnyie munayo stadium ππππ niliona stadium ya mombasa haina hata viti vya kukaa
nilicheka sana
Kwenda uko...133 metres ata haifiki Times tower jengo LA 1990
huyo achana nae hua anaujinga kichwani mwake hana facts zaidi ya povuGoogle is there for you
List yangu hii hapauko tayari tuanze alaf tuoneπππππ
sihitaji renders nachotaka kuona majengo yaliyosimama nairobi over 20 uko tayari twende kaziππList yangu hii hapa
these are completes 20+ floors in
Nairobi
1. Britam tower complete 33flrs
2. UAP/Old Mutual Tower complete 33Flrs
3. Times Tower complete- 38flrs
4. Teleposta Tower complete - 27 - (These are 3 towers of 27, 25 and 23)
5. NSSF complete - 28flrs (two towers)
6. Cooperative bank tower complete - 25flrs
7. KICC complete - 28flrs
8. Hilton hotel complete- 24flrs
9. Anniversary Towers complete - 28flrs
10. Nyayo house complete - 27flrs
11. Rahimtula Tower complete - 22flrs
12. Ambank House complete - 22flrs
13. Delta Center complete - 21flrs
14.Delta corner tower A complete - 21flrs
15.Delta corners tower B complete - 21flrs
16. KCB Tower complete 23flrs
17. National Bank Tower complete 21flrs
18. Uchumi House complete - 21flrs
19. Hazina tower complete - 25flrs
20. Lonrho House complete - 22flrs
21. Reinsurance Plaza complete - 20flrs
22. Viewpark Tower complete - 20flrs
23. Ecobank Tower complete - 20flrs
24. the Bazaar complete - 20flrs
25. Afya center complete- 21 floors
26. fourth Ngong avenue tower complete 25flrs
27. University of Nairobi tower complete 22 flrs
28. Golf course hotel complete 21flrs
These are topped out 20+ floors towers
30. prism tower t/o 34flrs
31. First community bank tower 25flrs
32. Lemac tower t/o 26flrs
33. parliament tower t/o 26flrs
34. Kings dinstinction t/o 20flrs
Under Construction
35. one africa place u/c- 23 flrs
36. Upper Hill Chambers - 28flrs
37. the pinacle Tower 1 - 60flrs
38. the pinacle tower 2 - 45flrs
39. Avic tower 1 - 43 flrs
40. Avic tower 2 - 35 flrs
41. Avic tower 3 - 28 flrs
42. Avic tower 4 - 25 flrs
43. Avic tower 5 - 24 flrs
44. Avic tower 6 - 24 flrs
Na bado kuna zengine nimesahau