Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Talking of.
-Albino devouring in TZ
-Sorcery
-Satanism
All in TZ only?what about Kenya

Is that Tz?
Witchcraft in kenya
 
Ngoja wafike kwa Wi-Fi za bure taoo uone mapovu yatavyomwagika leooo
Ndugu hii story ya free Wi-Fi mtakoma kabisa. wacha nikuelemishe kidogo mtoto wa kidanganyika. Kenya has the highest percentage of internet users in Africa at 89% while Tanzania has 13%. on the same note, Kenya also has the fastest internet speeds in Africa at 8mbps. Kabla muongee sijui eti wakenya wanavizia free Wi-Fi, yafaa mfahame kwamba sisi na nyinyi hatuko league moja in matters internet and mobile telephony.Someni hizi links hapa chini
www.internetworldstats.com/stats1.htm
www.techtrends.co.zm/top-10-african-countries-fast-internet-speeds/ www.itnewsafrica.com/2017/03/nigeria-leads-africas-7-highest-internet-using-countries/
 
Devil worshipp alive in Kikuyu land
 
Jawabu lako ni la juu sana kwa uelewa wa huyo jamaa, sidhani kama ataelewa,
 
hahaha....Nyani kweli haoni kundule.This know it all attitude is what has killed you....Sifa ya kinyani ukifika nchi yenyewe umasikini wa kutupwa.......You need to wash your ujamaa brains that is where you should start from.
I love ujamaa, remember China is ujamaa Nation financing all your projects,
Sio rahisi kuona nchi ya ujamaa watu wanabaguana, wanagegeda mifugo na wana roho mbaya kiasi cha kuchinjana kama wanyamapori
Inakuwaje nchi ya namna ya Kenya yenye wasomi bora kama unavyojaribu kujinasibu hapa inakuwa na slums Kubwa kuliko zote Duniani? (Kibera is the Largest Slum in the world,),
Na Watu maelfu kwa maelfu wanakufa njaa mwaka baada ya mwaka, sasa hiyo elimu kazi yake nini basi?
Kwanini msitumie wasomi wenu kuwekeza maarifa kwenye Kilimo na badala yake mnaletewa vyakula vya misaada toka mataifa ya kijamaa kama Tanzania na Brazil?
Elimu yenu imewasaidia nini?
Polisi wanaua na kubaka Raia, Ukiwa na mifugo yeko Kenya ni shida tupu, maana utakuta kina depay wanavizia kufanya nayo mapenzi,
 
So mkiwa hivyo sisi tunapata shida gan ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…