Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha upumbavu mzee. Kama umeshindwa kutetea mambo yako ya kisiasa hapa nchini basi kaa kimya. Mkenya hana mamlaka yoyote ya kufanya hapa TZ. Hao wanatafuta attention tu.
commercial activism! Paid thugs.
Kama kweli ni wanaharakati, wadeal na jiggers, njaa na wizi wa ardhi uliofanywa na Kenyatta.
 
kunyan uwa wanaangaika sana mitandaoni kutafuta Tanzania kwenye list kama hizi 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…