Kibera na nyumba mbili za affordable inawezekana?😆😆
Wacha the whole western World ipo hivyo! Kule Kibera chang‘aa si inauzwa vyumba vya Kulala?Nyef nyef eti hua hawatumii products manufactured in Kenya. Hii ni duka ya mtaa huko dar is a slum na naona imported products from Kenya kama Kimbo, blue band, prestige, softcare diaper, toss, royco.
Alafu bongoslum ni nchi la kishamba sana, imagine pombe inauzwa kwa general shop and sio Kwa wines and spirits ama liquor store. 🤣🤣🤣 Hawa watu bado wako stonage.
View attachment 3322665
Hizo taarifa since 1961 zinapikwa na UK, tunazijua wala hazitusumbui.
We mzee unakuanga fala. Which western world are you talking about? Duka za mtaani zinapatikana western world gani? 🤣🤣 Anyway UK duka ya kuuza pombe inaitwa Off License na US inaitwa Liquor Store.Wacha the whole western World ipo hivyo! Kule Kibera chang‘aa si inauzwa vyumba vya Kulala?
Wala usicheke, kila nchi inakula rungu.
Hahaha propaganda za kitoto. From UK🤣🤣🤣 No wonder bado wanatumia squatting toilets na kuuza pombe Kwa duka la mangi.
View attachment 3322726
Sa' vipi tena huyo 'non NATO ally'?😎😎Wala usicheke, kila nchi inakula rungu.
Ifike mahali muachane na hizi post za kusitisha contract, misaada nk maana kila nchi inakula rungu.
View: https://x.com/doge/status/1918082785614475775?s=46
Na hiyo ni Kibera tu na ni Nairobi.According to reports mbalimbali, Asilimia 60 ya wakazi wa Nairobi wanaishi katika asilimia 6% tu ya ardhi nzima ya Nairobi kwenye mabanda kama mbwa. Imagine😅
Data za kubuni🤣🤣🤣 No wonder bado wanatumia squatting toilets na kuuza pombe Kwa duka la mangi.
View attachment 3322726