Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona unakuja na hadithi za abunuasi.? 🤣🤣🤣🤣
 
Sijaona neno bus rapid transport
 
Kuna utofauti wa rapid transport na plan for Nairobi transport
 
TikTok ebu tuleteee official statement na hata kama ingekuwa mmefinance still yet Tanzania wins kwa sabab kuuchukua mkopo kutoka kwa external financers tends to reduce scrambling from internal loaners by individual . Kajifunze benefits of borrowing from external loaners. Ukijisifia kutoa mkopo kwa Tanzania itakuwa ujiona mjinga kwanini haikuwa lamu
 
Kwahiyo official statement inapatikana twitter ndo maana Kenya ni taifa la matahira

An official statement is a formal declaration or document issued by a government, organization, or other official entity to convey important information or communicate a specific position or action. It's often used in legal, financial, or public contexts to provide clear and concise communication.
 
The only difference between us and them is that we give credit where due (like you've done with markets) but they don't. Watu wenye mioyo meusi sana!!
 
Sasa wewe mongoose unapingana na habari za NTV Uganda? Alafu why copypaste a definition of official statement? Huwezijisemea? Ama hata meaning ndio hukuwa unajua?
 
Sasa wewe mongoose unapingana na habari za NTV Uganda? Alafu why copypaste a definition of official statement? Huwezijisemea? Ama hata meaning ndio hukuwa unajua?
Nilitegemea ulete evidence yenye kiwango husika . Kumbe unaleta habar za uganda hapa . Let Tanzanian government imekopa kiwango flani kwa ajili ya eacop
 
Kenyans are everywhere
Random oil rig somewhere in panama

View: https://x.com/wakariowa/status/1914644151993241969?s=46
Yaan mpaka mnaaanza kuiba investment za watu
The KIKUYU 4303 is owned by GULF MARINE SERVICES - ABU DHABI, UNITED ARAB EMIRATES. They also manage the vessel. It is a Jackup platform built in 2005 and currently operates under the flag of Panama. The vessel's gross tonnage is 2910 tons.

VesselFinder also lists KIKUYU 4303 as an Offshore Support Vessel with the IMO number 9333333.
 
Maneno ya Kiswahili hayaandikwi kwa namna mbili. Usituharibie lugha ya mama Tanzania.
Firstly Swahili sio lugha ya mama ya mtu
Secondly Swahili origins have been traced to the Kenyan coast before tanganyika
Alafu demography and other factors can make spelling of same words differently usifikirie you are the only zombie using swahili kijana mzee
Shukrani Shukurani, Hekima Hikima…
Kenya - Banki
Kwenu- Benki
Kenya- Dhambi
Congo- Zambi
 
Kenyans are everywhere
Random oil rig somewhere in panama

View: https://x.com/wakariowa/status/1914644151993241969?s=46
IMO number9333333
MMSI351570000
Name of the shipKIKUYU 4303
Former namesIKUIU 4303 (2017)
Vessel typeJackup platform
Operating statusActive
FlagPanama
Gross tonnage2910 tons
Length43 m
Breadth34 m
Engine typeCaterpillar
Engine power2400 KW
Year of build2005
BuilderGULF MARINE SERVICES - ABU DHABI, UNITED ARAB EMIRATES
Classification societyAMERICAN BUREAU OF SHIPPING
Home portPanama
OwnerGULF MARINE SERVICES - ABU DHABI, UNITED ARAB EMIRATES
ManagerGULF MARINE SERVICES - ABU DHABI, UNITED ARAB EMIRATES
DescriptionKIKUYU 4303 is a Jackup platform built in 2005 by GULF MARINE SERVICES - ABU DHABI, UNITED ARAB EMIRATES. Currently sailing under the flag of Panama. Formerly also known as IKUIU 4303. It's gross tonnage is 2910 tons.
 
Oh its not a rig- my bad..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…