Unamuomba nani pics za kibera and mathare plz???pics za suburbs please...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ahahahaa jamaa anazirudia akizirudia hahahahah acha utoto baba nairobi ni ndogo sana tena sana kwa dar hahhhahahahhahahaNAIROBI
Usinibore na kelele, we ndo unarudia picha mara kumi na tumenyamaza tuAhahahaa jamaa anazirudia akizirudia hahahahah acha utoto baba nairobi ni ndogo sana tena sana kwa dar hahhhahahahhahaha