Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,149
- 107,714
Mkumbushe Saahii Nairobi expressway iko hivi 👇🏿👇🏿Hata wakati mnazindua tungi la chang'aa kulikua na kelele kama hizo za talanta,kilichowakuta mmebaki na wivu
View attachment 3300380
Mwanza, Arusha, Zanzibar na Dodoma wanahitaji pia shopping malls za ukubwa huu!Mzigo ushakamilika tayari wakuu. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DIT1WxEsYM_/?igsh=OWFkdG10Z3h4dDht.
Hii ndio ze biggesti mall in Easti Africa. 🤣 🤣 🤣 Punguzeni jokes.Mzigo ushakamilika tayari wakuu. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DIT1WxEsYM_/?igsh=OWFkdG10Z3h4dDht.
Kaa kwa kutulia we Zombie sijakupostia wewe 😁😂 acha shoboUwanja inajengwa porini unatuambia hapa
Sisi sio watu wa show off just wait utashangazwa soonMmemaliza kuchimba foundation?
Kenya lazima ihusishwe ju sisi ndio powerhouse hapa East Africa.Tanzania, strategically mastering the art of geopolitical architecture, kila nchi tupo nayo kimkakati, Kunyaland haina inachopata Sudan, Ethiopia, Somalia zaidi ya kuvamiwa na kupigwa kama mlevi kichaa daily
View attachment 3300476
View: https://x.com/COMESA_HQ/status/1910675269255389552?t=27Ibr6mfHT7EtjLpYw4h1A&s=19
Powerhouse ya cholera, nani kakuambia mmehusishwa ninyi?Kenya lazima ihusishwe ju sisi ndio powerhouse hapa East Africa.
Imeandikwa vizuri Kenya - Tanzania - ZambiaPowerhouse ya cholera, nani kakuambia mmehusishwa ninyi?
😅😅 Ni Grand Ethiopian Renaissance Dam ndio imefanya muhusike hapo, kwa electricity significance ipi mlionayo kwenye region muhusishwe? Tanzania saivi tunaenda 5000 megawatts ninyi mpo 2kImeandikwa vizuri Kenya - Tanzania - Zambia
Itabidii tu ulie ju huwezi vuta jina ya Kenya hapo. 🤣 🤣 🤣
Munaenda 5k with a peak demand of 1k. 🤣 🤣 🤣😅😅 Ni Grand Ethiopian Renaissance Dam ndio imefanya muhusike hapo, kwa electricity significance ipi mlionayo kwenye region muhusishwe? Tanzania saivi tunaenda 5000 megawatts ninyi mpo 2k
Bisha kwa hoja usiniletee mapepe.Hii ndio ze biggesti mall in Easti Africa. 🤣 🤣 🤣 Punguzeni jokes.
Yap, ni kweli mkuu.Mwanza, Arusha, Zanzibar na Dodoma wanahitaji pia shopping malls za ukubwa huu!