Jamaa haoni hiyo ya Angola is concentrated in one area while ya Kenya is spread all over Kenya.Zenu ziko wapi mtanganyika? Wacha kutuonesha vitu za watu wengine
Hiyo $30 billion enyewe ni ndogo.Hata haziezifika $3B.
Hakuna project inaendelea Tanzania that is more than $1.5B.Hiyo $30 billion enyewe ni ndogo.
$38 million x 47 counties = $1.7b. And that's assuming each county has just one such project. As I write this, several counties have multiple such projects na mfano umepewa hapo juu na Kisumu city which has 4 such projects. Sasa tumia hiyo akili yako ndogo ujaribu kupata taswira ya mambo ilvyo across Kenya in matters affordable housing projectsKsh 5 b = $38 million
Sasa kweli tupugazane kelele na kamradi kadogo kama hako. 🤣🤣🤣
Hapana hiyo sababu, kwa kesi ya magugu kwenye maeneo mengi Mwanza ilikua hivi, last 5 or 4 years maji yaliongezeka kina lake victoria, magugu yakapanda juu, kwenye maeneo mengi mno. Baadhi ya maenei private waliyaondoa magugu mfano rock beach garden, ila hapo yaliendelea kubaki.So Solution ya kuyaondoa yanarudi yanatokana na poor water quality high nutrients from household n industrial waste water!
haya sawa. Mjinga mpe cheo.Hakuna project inaendelea Tanzania that is more than $1.5B.
Sasa ticket 10k unajipiga kifua budaa.? 🤣🤣🤣Tomorrow’s game at Nyayo is fully sold out with tickets going as much as 10,000. Kule kwa wachawi lazima waingie bure stadium uweze kujaa.
View: https://x.com/husseinmoha/status/1903475236567216585
View: https://x.com/husseinmoha/status/1903022115046973893
Actually total number of sites where affordable Housing is currently ongoing is 75+, so ukifanya mahesabu it more than $3B assuming all projects are $38M hiyo yenye anasema.$38 million x 47 counties = $1.7b. And that's assuming each county has just one such project. As I write this, several counties have multiple such projects na mfano umepewa hapo juu na Kisumu city which has 4 such projects. Sasa tumia hiyo akili yako ndogo ujaribu kupata taswira ya mambo ilvyo across Kenya in matters affordable housing projects
Huyo mnyamwezi atengeneze pesa aje anunue one unit in one of the affordable housing projects across Kenya aachane na maisha ya uswazini.Jamaa haoni hiyo ya Angola is concentrated in one area while ya Kenya is spread all over Kenya.
Alafu affordable Housing inawaumiza kweli kweli.
Kama iko basi tuonyeshe. I dare you to post a single project in Tanzania that can compete with Affordable Housing in terms of value.haya sawa. Mjinga mpe cheo.
Huyo Hana pesa. Akiwa na pesa basi hiyo ameomba mumama.Huyo mnyamwezi atengenezie pesa aje anunue one unit in one of the affordable housing projects across Kenya aachane na maisha ya uswazini.
Hiyo 10,000 hata hujaishika maishani mwako.Sasa ticket 10k unajipiga kifua budaa.? 🤣🤣🤣
Wanaumia sana kuona serikali inajenga affordable houses across Kenya wakati wao wamejaza miji zao na uswazi aka dream housesActually total number of sites where affordable Housing is currently ongoing is 75+, so ukifanya mahesabu it more than $3B assuming all projects are $38M hiyo yenye anasema.
Bado umeendelea kutaja afordable housing.? 🤣🤣🤣 wewe kichwa ngumu mjomba.Kama iko basi tuonyeshe. I dare you to post a single project in Tanzania that can compete with Affordable Housing in terms of value.
I mean currently ongoing project.
Nishike ticket elfu kumi au nishike ticket zenye thamani ya sh 10k kwa tiketi moja.? 🤣🤣🤣Hiyo 10,000 hata hujaishika maishani mwako.
Sasa sisi hatujengi hizi affordable houses.? Mbona unapiga kelele we kichaa.? 🤣🤣Wanaumia sana kuona serikali inajenga affordable houses across Kenya wakati wao wamejaza miji zao na uswazi aka dream houses
$8B. Government $3.8B, Private $4.2B.Bado umeendelea kutaja afordable housing.? 🤣🤣🤣 wewe kichwa ngumu mjomba.
Again kunbe ulisema affordable housing ina cost bei gani vile.? 🤣🤣🤣
Nioneshe affordable housing project huko Mbeya 'city' nione 😂😂Sasa sisi hatujengi hizi affordable houses.? Mbona unapiga kelele we kichaa.? 🤣🤣