Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya maisha ni ya masikini wa mwisho kabisa China na bado amenities za hayo majengo huwezi linganisha na hayo maboma yenu ya mlango wa bati
Amenities Kama gani hizo? Ebu taja hizo amenities zenye huwezipata in our affordable houses tujue.
 
Wapi nimesema nyumba tatu ni $5B? Yani maumivu ya Affordable Housing inawaumiza sana.
 
Zenu ziko wapi mtanganyika? Wacha kutuonesha vitu za watu wengine
 
Ksh 5 b = $38 million

Sasa kweli tupugazane kelele na kamradi kadogo kama hako. 🤣🤣🤣
$38 million x 47 counties = $1.7b. And that's assuming each county has just one such project. As I write this, several counties have multiple such projects na mfano umepewa hapo juu na Kisumu city which has 4 such projects. Sasa tumia hiyo akili yako ndogo ujaribu kupata taswira ya mambo ilvyo across Kenya in matters affordable housing projects
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…