Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani siku hizi hujui hata Ksh inamaanisha nini? Kweli wewe ni baboon.
View attachment 3279629
Wewe unafirwa sio bure. This is kilamba city Angola. 👇🏾the cost of this project is $3.5 billion that involves roads and everything. That’s 700 buildings. Even Naipori isn’t as beautiful as This.

Unaleta mapepe mimradi ka nyumba tatu eti ni $5 billion. 🤣🤣🤣🤣🤣. Labda 5 billion Tz money.
 
😂😂😂 Wanalazimisha wakati hata ppp ya mchina ni way expensive kuliko haya maboma
 
😂😂😂 Wanalazimisha wakati hata ppp ya mchina ni way expensive kuliko haya maboma
Kijamaa ni kipumbavu haswaa. Mkuu ukitaja $5 billion kwenye kuwekeza nyumba ujue huo ni mradi wa kujenga mji mzima mzee wangu. That’s a lot of money. Na ikifika mahali tutaweka bajeti hizi tunazojenga strategic projects kwenye nyumba there will be no country to catch up with us. $5 billion.? 🤣🤣🤣 magomeni, Tandale, manzese na viunga vyake zote unachakaza gorofa.
 
Nothing beautiful to see from this picture. Sahii reference tunachukua China huko. Unaleta habari za kale. 🤣🤣🤣
Now you are moving the goal post …your comrade stated such affordable housing (Kenya) don’t exist in first world countries… Now that I have proved him wrong, you are now talking about China … kwani USA si first world and richer than China?
 
Kilamba ghost city is not better than Kenya affordable projects ( ni size yake tu but ni empty)
 
Mafala hawa Ruto anawajaza takataka kichwani, eti $5 billion kwa kipi ambacho wanaimport na kwa ukubwa upi wa mradi wakati maboma hayafiki 10 tena kwa standards za uchochoroni, hakuna boma lenye escalator hata 1, milango na madirisha ni yale ya mafundi sufuria
 
You talk about history right.? Nothing impressive in US compared to China 🇨🇳.

Again, affordable houses huko kwenu ni za kijua kali utalinganisha vipi na zile za ughaibuni.?

Kwani we huoni aibu kuongea uongo.? 🤣🤣🤣
 
Wasenge kweli hawa jamaa. 🤣🤣🤣 unajua muda mwingine unaeza mpiga mtu hata kibao mkuu. .?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…