Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni Ushamba … I see Diamond throwing the 3 finger gang salute ( I bet he didn’t know what that means, probably saw it on TV)..🤣🤣🤣… na huyo jamás ako juu amevaa Tennessee Titans Football jearsy number 27 ya the great Eddie George ( one of my favorite running backs of all time)… I bet alinunua mtumba ….Hii ndio ushamba … unafanya mambo ya kurusha vidole na Kuvaa Nguo hujui meaning yake …🤣🤣🤣
 
Goodnight neighbors!… the battle résumés tomorrow evening after assignments … sasa wacha panya watawale uwanja ..🤣🤣🤣😂😂
 
Mbona unajielezea sana.? 🤣🤣🤣 hizo style huku bongo watu walivaa zamaani sana. Akina master J na P funk majani walivaa wakiwa Vijana wadogo sana. 👇🏾🤣🤣🤣 we unaona ujanja eti.
 

Babu ulichomekwa kwenye hilo koti la kibabu style za picha ujui me Naona mti umesimama tu 😁😂 so sad
 

Ndio hao vijana wanashangilia huu mradi saiv State house sio?

Wakipongeza kazi nzuri ya Kaongoo!
 

Au sio baba paroko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…