Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa nyinyi. Kama mmeweza kujenga bwawa la Nyerere 2115MW. Mnashindwa nini mkajenga upya hiz transmission line?

Wananchi wanasema hawana serikali yenye maono.
Kimsingi jana Serikali omepuyanga sana. Watanzania wanataka nchi yao iwe independent kwenye energy. Sasa zile MW zote zitabaki tu bila matumizi kisa tu hamwezi jenga transmission lines?
Nashauri iachane na mpango huo. Ijipange kuboresha miundombinu mdogo mdogo.
Watanzania wengi jana wamekatishwa TΓ‘maa na ile hotuba.
 
Sijui ni kitu gani. Lakini mbona transmission lines mpya zilitengenezwa hivi karibuni.? Miaka ya 2018-2021 nilikua nikitokaga Arusha to Mwanza nilikua nikiona transmission lines mpyaa zikijengwa.
 
Yani watchman alilia moderators comments zangu zote zikakuwa deleted, huyu The best 007 ni bure sanaπŸ˜‚πŸ˜‚.

IamLee, mwaiofhawaii zile comments za usiku tukichongoa watchman zimekuwa deleted zoteπŸ˜‚
People who act all tough are normally the weakest crybabies. I wouldn't be surprised if some of these little tough boys here lock themselves up and cry after all the jabs we throw them here.
 
We ng'ombe Tanzania ni massive, unafikiri kuupgrade transmission lines zote across the country ni kitu cha a park walk? Nchi yenu tu ni nusu ya Tanzania na ni less than 40 percent ina central grid at least ya kv 120
 
People who act all tough are normally the weakest crybabies. I wouldn't be surprised if some of these little tough boys here lock themselves up and cry after all the jabs we throw them here.
The guy literally cried for mods to ban me just because I posted this picture πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Yeah sure, hii line inatoka Singida mpaka Namanga na umeme wa JNHPP haujafika Singida bado wala Dodoma, ndio wanajenga saivi transmission line kubwa ya 400kv kutoka Chalinze to Dodoma, bila hii line hatuwezi kuwauzia hata Burundi umeme


 
hii nchi sijui inaelekea wapi daaah πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…