Majibu YaoKwanini tununue umeme njee wakati tunazalisha wakutoshaa,izi akili za wapii
Hivi vitu vinahitaji kashule kidogo, mimi sio chawa lakini nakubaliana na ukweli kwamba umeme wa Ethiopia ni nafuu zaidi kuliko kutoka Dar sababu ya uchakavu wa miundombinu, grid ya kutoa umeme Dar ni ya miaka ya 1970s wakati grid ya kutoa umeme Ethiopia ni ya mwaka 2022
Hivi vitu vinahitaji kashule kidogo, mimi sio chawa lakini nakubaliana na ukweli kwamba umeme wa Ethiopia ni nafuu zaidi kuliko kutoka Dar sababu ya uchakavu wa miundombinu, grid ya kutoa umeme Dar ni ya miaka ya 1970s wakati grid ya kutoa umeme Ethiopia ni ya mwaka 2022
Umeme pia unapotea kwenye miundombinu chakavu sawa na maji yanavyopotea kwenye mambo makuukuu,View attachment 3265266
Huyu nyang'au anafanana na Teargass ha ha haπUkosefu wa lishe bora: Huwezi tambua gender ya mtu na huwezi jua mtu ana furaha, huzuni or makasiriko.
View: https://x.com/alloysmayaka/status/1898663136921633131
Kwanini asingetafutwa investor serikali ikafanya PPP? Hivi kuna siri gani kwenye hizo social security funds zetu na majengo? JPM aliwashauri waachane na majengo wawekeze kwenye viwanda, imagine kiwanda cha industrial sugar cha billion 400
Arusha Ina set standards za kushindana na tier 1 cities in EA.Huu utaisha na utakuta hili gofu la kisumu village limeanza kudondoka kifafa
Largest complex with conference, arena, mall, hotel and exhibition courts in Africa
View: https://youtu.be/LgQpz-b90EE?feature=shared
Kisumu wizards park
View attachment 3265311
Though hio render sijaipenda, hope watakuja na nyingine, tukikamilisha hii Rwanda tumemuondoa mchezoniArusha Ina set standards za kushindana na tier 1 cities in EA.
Tier 1 Cities in East Africa are only two, Nairobi and Addis Ababa.Arusha Ina set standards za kushindana na tier 1 cities in EA.
Oooohhh tukona ze biggesti hydro dam in Easti Africa. π€£ π€£ π€£ NairobiWalker aliwaambia shida zenu za umeme hazitasuluhishwa na generation pekee mukamtusi. Sasa ona hamna proper infrastructure ya kufanya transmission. π€£ π€£ π€£ Bongolala ni bongolala tu.Hivi vitu vinahitaji kashule kidogo, mimi sio chawa lakini nakubaliana na ukweli kwamba umeme wa Ethiopia ni nafuu zaidi kuliko kutoka Dar sababu ya uchakavu wa miundombinu, grid ya kutoa umeme Dar ni ya miaka ya 1970s wakati grid ya kutoa umeme Ethiopia ni ya mwaka 2022
Umeme pia unapotea kwenye miundombinu chakavu sawa na maji yanavyopotea kwenye mabomba makuukuu,View attachment 3265266
Many people here are high school leavers. You try to educate them like a professional, they insult you. Saa zingine unawaacha waishi kwa ujinga wao.Oooohhh tukona ze biggesti hydro dam in Easti Africa. π€£ π€£ π€£ NairobiWalker aliwaambia shida zenu za umeme hazitasuluhishwa na generation pekee mukamtusi. Sasa ona hamna proper infrastructure ya kufanya transmission. π€£ π€£ π€£ Bongolala ni bongolala tu.
I've said it here and I'll say it again and again. Kenya should leave the EAC. We are literally the ones keeping this bogus union standing, we contribute the most money and we always pay on time. Meanwhile, the country that benefits the most from it acts as if they don't even want to be there and always buttlicking SADC. Let's just close it like we did in 1977 and get over with it.
A spelling mistake is a grammatical error wewe nyumbuA spelling mistake na sio grammatical error.
Ni kitu kinacholeweka ila changamoto hawajawapa wataalamu kutoka Tanesco watolee ufafanuzi hilo jambo, huyo msemaji katoa boko kinoma.Hivi vitu vinahitaji kashule kidogo, mimi sio chawa lakini nakubaliana na ukweli kwamba umeme wa Ethiopia ni nafuu zaidi kuliko kutoka Dar sababu ya uchakavu wa miundombinu, grid ya kutoa umeme Dar ni ya miaka ya 1970s wakati grid ya kutoa umeme Ethiopia ni ya mwaka 2022
Umeme pia unapotea kwenye miundombinu chakavu sawa na maji yanavyopotea kwenye mabomba makuukuu,View attachment 3265266