Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitu watu hawaelewi kuna mikopo ikitolewa huwa mtoa mkopo anakuchagulia hadi mkandarasi.
 
so estim ni kampuni ya wapi? si ndio hao tumewaamini tumewapa 8 to 12 lanes na baadhi ya interchanges na over pass au of about 20km
 
Ndio nilimwambia pale mwanzo, hizo BRT na Jangwani plus Msimbazi project hizo hatuna nguvu nazo. Maana ndio hao wenye masharti wanatoa pesa.
Pale jangwani nimepita leo naona wameanza kupagusa... Labda hela imetoka na ndio maana waziri akapata nguvu ya kwenda kumkoromea mchina kule Bagamoyo road.
 
so estim ni kampuni ya wapi? si ndio hao tumewaamini tumewapa 8 to 12 lanes na baadhi ya interchanges na over pass au of about 20km

Kwa hiyo mkuu hapo tumekubaliana ni Estim peke yake kwa hapa ndani anaweza kuwa na nguvu na uwezo wa kufanya hizo project kubwa.
Ila nae akiwekwa kwenye international open tender pool hatoboi. Hawezi kushindana na kampuni kubwa za nje.
 
eti waziri kapata nguvu 😂😂😂😂
awamu hii tunakazi kubwa sana yakufanya
madudu yamejaa kila kona ya mradi
 
Kwa hiyo mkuu hapo tumekubaliana ni Estim peke yake kwa hapa ndani anaweza kuwa na nguvu na uwezo wa kufanya hizo project kubwa.
Ila nae akiwekwa kwenye international open tender pool hatoboi. Hawezi kushindana na kampuni kubwa za nje.
huyo estim umeona anaweza kwasababu kaaminiwa ila makampuni ya ujenzi yapo mengi mbona husemi mwanza int airport kapewa caspian kampuni ya rostam aziz

labda nikuulize swali BRT makampuni yana bid tender au hayabid ?
 
Shida unaweza kuta hela imetoka jana halafu mwanasiasa anaenda kuwakoromea leo. 😂😂😂
Mnawalaumu tu wakandarasi bure maana hamjui namna vitu vinaendaje nyuma ya pazia.
 
Kwa hiyo mkuu hapo tumekubaliana ni Estim peke yake kwa hapa ndani anaweza kuwa na nguvu na uwezo wa kufanya hizo project kubwa.
Ila nae akiwekwa kwenye international open tender pool hatoboi. Hawezi kushindana na kampuni kubwa za nje.
Anatakiwa kukuzwa kwa kupewa priority kwenye tender za serikalini ili akue zaidi mana keshaonesha anaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…