Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Mbona unazunguka zungu ka.?🤣🤣🤣 kwanza kwanini hata hiyo iwe ni mada ya kujadili.? Does it change Kisumu ni kijiji .? 🤣🤣🤣Wacha hata nikuhesabie. In fact ni over 5000 units in Kisumu.
Makasembo Housing Estate 1870 units
View: https://x.com/oloojl/status/1865386923360960870
Na ujue zote ziko under construction. Utaumia sana LV Marina ikianza. 🤣 🤣Mbona unazunguka zungu ka.?🤣🤣🤣 kwanza kwanini hata hiyo iwe ni mada ya kujadili.? Does it change Kisumu ni kijiji .? 🤣🤣🤣
Unaeleza vitu zenye they do not exist 🤣🤣🤣Lumumba Estate 2348 units
"Kilimani inashinda"Mikocheni ni nini eti?
View attachment 3258481
Ushaanza kumwaga puvu na Kazi bado 🤣🤣🤣. Blue print ya hio Anderson project ndio hii hapa, 11 blocks 15 floors each, hii Imeshinda Mwanza na Arusha combined.Wewe ni fala nini.? Unanichukuliaje.? Nyumba elfu 4 unazijua.? Au unaropoka tu.? 🤣🤣🤣. Yani tena umekaza fuvu.? Project si ndio hii 👇🏾View attachment 3259168View attachment 3259169Hiki ni kijiji mzee sio jiji. Hakuna jiji linakaa hivi. 🤣🤣🤣
Talanta Stadium is a Modern Football Specific stadium. Hii Talanta itafanya Benjamin Mkapa ikae kama zizi la ngombe 😂👇🏾Huko tulishapita ndio maana tuna Benjamin Mkapa Stadium
Sehemu kama hizo Kenya ndo huwezi ona hata kiongozi amekwenda labda mbunge wakati akihitaji kuraTanzania still has long way to go kwa mambo ya barabara.
View: https://x.com/Kiganyi_/status/1896639703706927363
MtanzaniaMtanzania ama mwarabu?
Ushaanza kumwaga puvu na Kazi bado 🤣🤣🤣. Blue print ya hio Anderson project ndio hii hapa, 11 blocks 15 floors each, hii Imeshinda Mwanza na Arusha combined.
View attachment 3259434
Haya ndo Yale maghorofa yanayojengwa Kwa tope?Yaani ni kitu kibaya sana dogo, na pia ukiongezea kukua boya, kilaza, akili ku duaa.,n k., ni mbaya sana!!.,
Pollyview Estate Kisumu
View attachment 3258498
Kama render ingekuwa Kenya ungeona uharo
Sawa zombie of kiberaUshamaliza, inadhihirika kwa uandishi wako, yaani tayari wewe ni lizombie🤣🤣🤣🤣🤣 root cause ni fikra.., the way you reason, u are indeed a zombie🤣🤣🤣.,