NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,325
- 19,699
What does Somalis getting IDs got to do with being traitors and Western Puppets?so what's the problem with that post? He is 100% right! Ruto is giving Kenyan IDs to Somali like Njugu mbona turuhusu ids zenu?
RSF wako nairobi kutafuta legitimacy,
All that n there is uno ship docking? 😄😄
Name that one Kenyan who spoke to Trump na hakuelewa …. Ama ni stories za abunwasi ..😂😂..English zenyewe ndiyo hizo wakiongea Trump haelewi, raisi wake mwenyewe alienda US kuna swali aliulizwa na mmarekani akashindwa kuelewa, hiyo ni kutokana na kwamba hiyo lugha ni yao wanaichezea wanavyotaka, sisi watu weusi hasa kutoka huku Africa tunajua English ambayo ni basic tu siyo hiyo wanayoongea wao, ni kama vile sisi watanzania tunajua Kiswahili kiundani kabisa, hao wengine wanajua juu juu tu na wakati mwingine tukiongea hawatuelewi. Sasa huyo limbukeni 24/7 anasifia lugha wkt ni kitu cha kawaida na ni lugha kama zingine, waafrica tulilogwa aisee.
Name that one Kenyan who spoke to Trump na hakuelewa …. Ama ni stories za abunwasi ..😂😂English zenyewe ndiyo hizo wakiongea Trump haelewi, raisi wake mwenyewe alienda US kuna swali aliulizwa na mmarekani akashindwa kuelewa, hiyo ni kutokana na kwamba hiyo lugha ni yao wanaichezea wanavyotaka, sisi watu weusi hasa kutoka huku Africa tunajua English ambayo ni basic tu siyo hiyo wanayoongea wao, ni kama vile sisi watanzania tunajua Kiswahili kiundani kabisa, hao wengine wanajua juu juu tu na wakati mwingine tukiongea hawatuelewi. Sasa huyo limbukeni 24/7 anasifia lugha wkt ni kitu cha kawaida na ni lugha kama zingine, waafrica tulilogwa aisee.
Si uliniambia juzi unakuja USA … so kuna Kazi ya kupanga box inakungonjea?..😂😂😂…just stick to your watchman gig..Haya kapange box, ndiyo kazi za mtu mweusi huko US.
Kundurenda hawajasimamisha Raila tena?Sadc imesimamisha wagombea 2? Mambo na Tshabalala au?
View: https://x.com/TheAfricaReport/status/1892899871893438707?t=Gtqina0ItG24tC4oehDhLQ&s=19
My Take
Huyu mbongo anamuunga mkono wa Mauritania 👇👇
View: https://x.com/TheAfricaReport/status/1892610376707010609?t=pluQ_DW5IYUa5Dw00DQJ_w&s=19
What is wrong with you, young man?😁In America we call him Anold because that’s how he pronounces his name ( with a heavy accent)… but you would never understand that …. So, get to the choppa …😂😂😂
Sadc imesimamisha wagombea 2? Maimbo na Tshabalala au?
View: https://x.com/TheAfricaReport/status/1892899871893438707?t=Gtqina0ItG24tC4oehDhLQ&s=19
My Take
Huyu mbongo anamuunga mkono wa Mauritania 👇👇
View: https://x.com/TheAfricaReport/status/1892610376707010609?t=pluQ_DW5IYUa5Dw00DQJ_w&s=19
Hapana Mtanzania hapo Bali huyo Maimbo ni raia wa Zambia anaeungwa mkono na Sadc lakini sio wote wanaomkubali 👇👇Mtanzania anachukua
Bus zimewekwa engines za Isuzu Canter pale Githurai!Schools and colleges in Kenya are not playing in this Bus world game.
View attachment 3245662View attachment 3245663View attachment 3245664View attachment 3245665
according to who mama ngina au mudavadi?😂😂😂😂Whether international or not the fact remain that Kisumu handles more passengers than Kilimanjaro.
Thats Trump being Trump …he issued an executive order which is not a law enacted by congress. And the courts would not allow since Maine citizens are tax payers too. What if they stop remitting Federal Taxes ?.. The issue at hand is better resolved at the ballot box through elections or a referendum. There is not much the Federal government can do to individual states based on 10th Amendment state rights….now you knowKwaiyo ni sawa alivyomwambia usipokubalina naye hatafadhili miradi ya jimbo lake
All buses share engines with lorries you idiot. Hata hizo Yutong zenu zinatumia engine ya Cummins ISB67E6C290 yenye pia inatumika kwa hizi malori za RHOCT. Shida yenu hamnanga knowledge.Bus zimewekwa engines za Isuzu Canter pale Githurai!