Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya ni taifa la puppets
Kenya ndio nchi pekee Africa ambayo inatumiwa na whites kupika migogoro.
1.kenya support Ukraine
2.Kenya stand with Israel
3.kenya support koronel Nanga na kufanya vikao vya Congo Alliance Nairobi.
4.kenya kuhost kikao cha waasi wa sudan RSF na kuwapa hifadhi.

Kenya nyie ni trouble maker mmejificha kwenye kichaka cha karanga ila tunawaona tu.
 
au sio? Border zote kati ya Kenya na Tanzania ni hivyo, kuanzia Sirari-Isebania, Namanga, Holili, Tarakea mpaka Horohoro-Lungalunga!
Wewe libaba lizee unaishi kwenye hizi border points zote ndio ujue hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…