Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeah Jau kuona ni underutilized the Cargo terminal ,Mwanza only needs a standard international terminal ,but sidhani kama inazuia ndege kama UG airlines ,Ethiopian au KQ kutotua sasa hivi cause kama passengers wapo maybe ndege zingekuj tu.
Kusema kweli mtu anayelalamika kuhusu Mwanza Kunyimwa investments atakuwa hana akili! Hata hilo jengo jipya halitaleta tofauti kama wenyeji hawaingii kwenye biashara za kuongeza cargo!
 
Hawa mbuzi wameona KFC hapo Nairobi wanafikiri KFC ni something special kumbe ni kibanda cha chips tu kwa watuvwa chini nchi za watu.
Tell that to your minister that recently opened a branch of KFC with a lot of happiness. You share the events here for 6 consecutive days.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…