ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,491
- 89,937
Ooh how would you do to Tibaijuka nipe mfano cause you as nation have no legal power to stop UN Director to work in their own office, unless mnataka office iwe relocated.Dead Magufuli had no right nor authority to stop appointment of Mulinge by Vodacom you idiot. All he did is deny her a work permit. Something that the government of Kenya could do to Tibaijuka kama tungekuwa na roho mbaya kama hizo zenu. Huna akili.
Mpango wao wa kufanya wasiitwe Wanyarwanda.
View: https://x.com/afcongo/status/1890652400026878069
MY TAKE
Hawa jamaa wanachafua kweli Kiswahili, mbona hawatumii Kinyarwanda?
Because KFC sio kitu geni kwetu. Nyinyi mmekuwa na KFC mbili nchi nzima sasa hatupumziki.but none of ur SGR stations have any!
Na kuunganisha mikebe ya abiria 🤣🤣🤣Wanategemea remittances
Ila si walisema walikua wanataka wa Djibouti ashinde.
Mlikuwa mnapigia campaign wapi na nani mlifanikiwa kumshawishi ampigie kura huyo yussouf?Saii ndo wanajifanya hawajui Kenyans were campaigning for Yussouf, na ni hao walikuwa wanapost huku kenyans campaigning on X😂😂
Hub 6 Kilimanjaro na Zanzibar ongezeaHivi viwanja vinne vikikamilika vitasaidia ku-complement Mwanza international airport! Naiona Tanzania ya hub nne yaani Mwanza, Dodoma, Dar na Mbeya!
aisee nimejikuta nikisahau hizo!Hub 6 Kilimanjaro na Zanzibar ongezea
Africa wanajua ufala wao kabla na baada ya Uhuru. Kujibaraguza kwa wazungu wakati wenzao wanahangaika na liberation. Pia kura za Kenya UN hazioneshi msimamo wao bali zinapigwa according to the dictates of their masters nchi haina msimamo.Mbona wanakataliwa kila kona wana matatizo gani hawa mbwa wa kibera
hahah keep dreaming KFC has over 10 branches n growing! Mind u Subway has more branches in Tanzania than Kenya!Because KFC sio kitu geni kwetu. Nyinyi mmekuwa na KFC mbili nchi nzima sasa hatupumziki.
sio kabla hata baada mpaka sasa! WTO walizuia generic medicines kwa nchi za Africa kisa makampuni ya West yaliwadanganya kufungua pharmaceutical branches Ukunyani! Cha ajabu Novatis walifunga na wale wa Corona wamehairisha mradi! Hawa mbwa ni wabinafsi!Africa wanajua ufala wao kabla na baada ya Uhuru. Kujibaraguza kwa wazungu wakati wenzao wanahangaika na liberation. Pia kura za Kenya UN hazioneshi msimamo wao bali zinapigwa according to the dictates of their masters nchi haina msimamo.
Baada ya Trump kukata funding ya HAITI mission sasa anatafuta pa kutokea anataka mission iwe incorporated into UN peace keeping arrangements so that wale karau waendelee kulipwa huko.
Jamaa wana moja tuu kuukuu 🤣🤣🤣🤣aisee nimejikuta nikisahau hizo!
Na bado yanatulalamikia kutompa kura WTFMlikuwa mnapigia campaign wapi na nani mlifanikiwa kumshawishi ampigie kura huyo yussouf?
Ila haya manyang'au yana vituko sana
Ni ngumu kureason na watu wana fikra fupifupi wanaona hizo vitu nasema ni kama sinema tu 😂 sijui watafika huko liniKwani wewe huwezi andikia Rais email? What does it take to write an email to somone if you know their email address? You only need Internet connection watchman 🤣. Mibongolala mnatia huruma! It could be classified yes but the email will still be delivered even though it could be filtered on the other end for obvious reasons. Acheni ujinga!!
Ila si walisema walikua wanataka wa Djibouti ashinde.
Imekuaje wapo kutukomalia sisi ndio tumewafelisha.
Waache usenge, mijitu ipo kila siku kutunaga eti SADC hatuna kitu hamna anayeijua TZ, Tz hamna anayeijua na bado inalia lia eti tumeifelisha.
So Tanzania tungepiga kura moja wangeshinda?
Wapumbavu yaani tutumie mafanikio yetu influence ya jasho na Damu kuweka Nyang'au aliyekua anafanya biashara kipindi tunahangaika?
You guys are so disingenuous. You know very well that we did not want Raila to head AU, yet you come here claiming that we are crying over the loss of his bid to the AUC. Yani Hamna hata dignity ya kuwa a worthy opponent. Lies upon lies upon lies… mpende ukweli banaMlikuwa mnapigia campaign wapi na nani mlifanikiwa kumshawishi ampigie kura huyo yussouf?
Ila haya manyang'au yana vituko sana