KOMANDO YOSO
JF-Expert Member
- Sep 7, 2023
- 819
- 2,864
Yes battle ya Arusha vs Mombasa ni lazima ishirikishe miji zingine za kenya ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Arusha alone inaitoa kamasi mombasa.
Ila jamaa wapo na picha kuanzia uzi unaanza. Unakumbuka kuna mpumbavu alikuja kuleta picha za uwanja wa Ndege wa Arusha waliozoeshwa kulingishiwa.
View: https://x.com/WizarayaUJ/status/1888574417304760811
View: https://x.com/GiftKimaro7/status/1888608134257635482
View: https://youtu.be/I7eTpNvzDX0?si=JwFVfvoS5vzdO2dW
MY TAKE
Mambo ya kubeba luggages kwa trolley achia Wakunya!
ngoja tuone wa Kigoma utakaaje pia! Huku ni mwendo wa Wakunya kupigwa kama kwenye bus terminals!Ila jamaa wapo na picha kuanzia uzi unaanza. Unakumbuka kuna mpumbavu alikuja kuleta picha za uwanja wa Ndege wa Arusha waliozoeshwa kulingishiwa.
Ila watu ndani ya miaka 7 tumefumua maeneo mengi asee hii miradi yote nawaza ukiwatupia Wakunya Finance bills ngapi zitapitishwa kufidia madeni.
Imagine hawana miradi ya kueleweka na mishahara kulipa kizungumkuti, Madawa hospital chalii wakati ndio kwanza tunakabithi vifaa na madawa hospital kila kijiji na kujenga Bohari kubwa za dawa.
Nimewahi sema humu MSD ni ya kipekee Africa mijitu inaleta ushabiki yaani hadi kuna nchi zinaomba MSD iwasaidie kuprocure na kuwafikishia madawa.
Msishangae kichaa mmoja anakuletea picha za viwanja vya ndege vya Zamani humu licha ya kujengwa. Ikiwa kuna mtu ana takwimu za 2014 anatembea nazo kila siku.
Hawa watu inatakiwa watembezewe rungu la kipepe ๐๐๐ฅngoja tuone wa Kigoma utakaaje pia! Huku ni mwendo wa Wakunya kupigwa kama kwenye bus terminals!
Ila jamaa wapo na picha kuanzia uzi unaanza. Unakumbuka kuna mpumbavu alikuja kuleta picha za uwanja wa Ndege wa Arusha waliozoeshwa kulingishiwa.
Ila watu ndani ya miaka 7 tumefumua maeneo mengi asee hii miradi yote nawaza ukiwatupia Wakunya Finance bills ngapi zitapitishwa kufidia madeni.
Imagine hawana miradi ya kueleweka na mishahara kulipa kizungumkuti, Madawa hospital chalii wakati ndio kwanza tunakabithi vifaa na madawa hospital kila kijiji na kujenga Bohari kubwa za dawa.
Nimewahi sema humu MSD ni ya kipekee Africa mijitu inaleta ushabiki yaani hadi kuna nchi zinaomba MSD iwasaidie kuprocure na kuwafikishia madawa.
Msishangae kichaa mmoja anakuletea picha za viwanja vya ndege vya Zamani humu licha ya kujengwa. Ikiwa kuna mtu ana takwimu za 2014 anatembea nazo kila siku.
ngoja tuone wa Kigoma utakaaje pia! Huku ni mwendo wa Wakunya kupigwa kama kwenye bus terminals!
Serikali sasa iangalie haya majiji yafuatayo.View attachment 3232947
Kuna hii hapa dom kama dom๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Sema watupe render tutambe nazo
Pia Hope utakua uwanja mkubwa east Africa and central
๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
1.benjamin mkapaโ-dar es Salaam
2.Arusha stadiumโโ-Arusha
3.Aman stadiumโ- Zanzibar
4.Dom stadiumโ- Dodoma
5.Fumba stadiumโ-Zanzibar loading__
6.Suluhu stadiumโ-kizimkazi
Bado viwanja vya mazoezi wakenya adi hapo amuoni tayari tumew
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Comments kuna watu wanawashwa si mchezo hasa upande wa brndera yenye mende.