Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahaha Tanzania washughulike na shida zao ndio waje wapayuke hapa
leo ni kichapo...hawa jamaa wametuzoea bana...yaani unafananisha tanzania na Kenya...how? when I first cam across this forum I was shocked....its like saying Canada is ahead of USA...πŸ˜€πŸ˜€they might be nighbors but USA is way ahead...sometimes peopl must know their place...if they dont, we have to remind them...
 
leo ni kichapo...hawa jamaa wametuzoea bana...yaani unafananisha tanzania na Kenya...how? when I first cam across this forum I was shocked....its like saying Canada is ahead of USA...πŸ˜€πŸ˜€they might b nighbors but USA is way ahead
Kwikwikwikwikwi. Sisis tunakuangalia tu ujifurahishe msieje mkakimbia.
 
Kwikwikwikwikwi. Sisis tunakuangalia tu ujifurahishe msieje mkakimbia.
leo mmeniangalia sio? hizo ziku zingine huwa hamuambiliki wala kusemezeka...leo ndio mmekumbuka kuwa lazima muheshimu EA largest economy sio? kichapo kimeingia na kwanzia leo...huu ujinga wa kufananisha LDC na Kenya utakoma ama tuwakumbushe...πŸ˜€πŸ˜€
 
Halafu uwawekee port ya kisasa inayomeza takataka ports zao zote combined hahaha
 
baada ya kuwa th largest economy in Africa, waNigeria walikuwa pia wameanza hio tabia ya kujifananisha na South Africa...yaani watu wajinga sana hawa pamoja na wabongo...how can you forget your place? I will remind them...we can never be the same with an LDC country
 
Kwikwikwikwikwi. Sisis tunakuangalia tu ujifurahishe msieje mkakimbia.
kaanzisha ligi ya airport kaona hali ngumu kakimbiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yani anahangaika sana
 
kaanzisha ligi ya airport kaona hali ngumu kakimbiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yani anahangaika sana
Tunamcheki tukianza kumpiga mawe hapa anakimbia na harudi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…