concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,468
Hizo channels zote hazivuki border na hata ving'amuzi vyao huwez vikuta bongo kuliwahi kuwa na zuku ikapotea mazima ila ukienda kenya ,Uganda almost nchi zote hizo utakutana na azam media.take all those three combined, hazifikii Azam media!
Walidanganywa kuwa wao tu ndo lower middle income kumbe wako kundi moja na haitiUtapiamlo wa akili ni changamoto kwenye mwili wako.
View attachment 3203350
Ukiuliza Mkenya Azam ni Nini hawezi kuambia. Meanwhile hakuna Mtanzania hajui Citizen Tv. 🤣Yet bongolalas watch Citizen TV a lot. 🤣 🤣 🤣 Hio Azam yenu sijawai kuona hata mtu mmoja anawatch huku.
Tukiwaambia hamjui Kenya mnakereka. Azam media Kenya?🤣🤣Hizo channels zote hazivuki border na hata ving'amuzi vyao huwez vikuta bongo kuliwahi kuwa na zuku ikapotea mazima ila ukienda kenya ,Uganda almost nchi zote hizo utakutana na azam media.
hamuijui ila inafadhili ligi yenuUkiuliza Mkenya Azam ni Nini hawezi kuambia. Meanwhile hakuna Mtanzania hajui Citizen Tv. 🤣
Achana na hizi kondoo za humu, nenda Facebook kwenye page ya Azam TV Kenya. 😂😂😂hamuijui ila inafadhili ligi yenu
WWW III BattleKulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Kama vile Sportpesa inavyofadhili yenu sivyo?🤣hamuijui ila inafadhili ligi yenu
I repeat, nobody watches Azam in Kenya. Advertisements don't mean shit. Your media does not air content that's attractive to Kenyans.
Endelea kuota kondoo.Kama vile Sportpesa inavyofadhili yenu sivyo?🤣
hivi inafadhii ligi gbani tanzania ?Kama vile Sportpesa inavyofadhili yenu sivyo?🤣
Na mbona ligi iitwe NBC premier league! 😂😂😂hivi inafadhii ligi gbani tanzania ?
ndo namimi natafuta ufadhili za sport pesa walau wa usd 100,00 tuNa mbona ligi iitwe NBC premier league! 😂😂😂
Hajui tofauti ya club sponsors na league sponsors. 😂😂😂ndo namimi natafuta ufadhili za sport pesa walau wa usd 100,00 tu
Kwa hivo ligi ya Kenya inaitwa Azam premier league?🤣🤣Endelea kuota kondoo.
Na mbona naona sponsor watatu, NBC, AZAM na TBC!
View: https://x.com/tanfootball/status/1873067696386122225?s=46
Nani amesema hivo?Kwa hivo ligi ya Kenya inaitwa Azam premier league?🤣🤣
Facts 🤣Ukiuliza Mkenya Azam ni Nini hawezi kuambia. Meanwhile hakuna Mtanzania hajui Citizen Tv. 🤣
Sasa hizi grazing grounds za shilingi mbili zimewashinda maintenance cost wacha tu mchina amiliki Talanta mpaka kiama