Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakati watanzania wanafurahia convoy ya junky vehicles of which 90% were from Kenya, Kenyan women today did a Mazda CX-5, CX-3, Atenza convoy to flex their financial muscles.

 
Nyayo Estate Embakasi Kenya is the second largest residential estate in Africa
4,700 apartments
30,000 residents

 
Vijana pia with same car model always meet up to do a road trip. This Honda Fit Club which also did their road trip last week.


 
Habari ya wiki hii ni Land Rover usitutoe kwenye mstari. Wewe unatuletea Mazda 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Wewe wapi yako? Ama unangoja ya waendesha baiskeli?

Remember hizo Mazda sio junk like zile Land Rover zenye lazima ziskumwe ndio zigurume😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…