Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chaka kwa chaka? Sio?

Kwamba Saratoga aweke hizo kwenye route ya mkoa utegemee apate wateja mbele ya.

1. Adventure Kigoma


2. Aifola Express



3. Yehova Yire



Mind you hao ni washindani wake hiyo route ya Dar to Kigoma, ni impossible kuweka no A even B C, D.

Chaka kwa chaka na chai maharage tumewaachia nyie mziburuze hadi CBD
 
Why are you posting for me these ugly, cheap and fake buses?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakundustan tumewapita kila kitu mkuu, hatuwezi bishana na watu wanafanya registration ya PSV 11k kwa mwaka wakati Tanzania ni almost 50k ni kujidhalilisha

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…