Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani ndiyo unajua leo, kibera alone can accommodate more than 2.5m slum dwellers just imagine, na hiyo ni kitambo vp kwa sasa.
walijua hatujui ila ndo hivyo tunawajua nje ndani .Yaani Dar es salaam in watu 8.16mil na haina slum zinazojulikana duniani, ila Nairobi yenye population ya 5.41mil ina slums zaid ya kumi ,tatu ziko kwenye kumi bora Afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ