REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,665
- 11,669
Unaombwa ushahidi unaniuliza naishi sayari gani na kuni ishisha mahali hata sipitagi njia. Lete ushahidi wa ulichokisema hapa.Which planet do you live on? Ama wewe ni wale wa vijiweni manzese?
Hapa swala ni njaa na si wapi hayo matikitimaji yanalimwa. Iwaje mtu ale vitu vichafu road?So water melons come from the sky? Do you know how water melons grow? Use your brain idiot.
Kenya ni maisha ya kawaida ndiyo maana amekujibu hivyo, mkenya mwenzake anaenjoy tu melon ya kuokota imported from Tanzania.Enjoy? wewe umelelewa mtaani? Unaokotaje vitu na kula, mavitu mnayokanyaga? Ni dhahiri njaa inayopeleka mtu kujidhalilisha.
That's how innovation works fool. Ama unadhani mwenye alivumbua gari alivumbua kila kitu kutoka gurudumu hadi infotainment system? Mibongolala na lack of exposure. kha!Huyu mkenya ajagundua gloves, ameongeza tu ya kwakwe kwenye kitu kilichovumbuliwa kabla hajazaliwa.
Is there a rich country in Africa?Then why is Vumbistan still poor?
What has Africa got to do with it? You claim you have resources and big brains yet you're poorer than Kenya that has less resources than you.Is there a rich country in Africa?
Kufanya maboresho kwenya glove isn't something to brag about.That's how innovation works fool. Ama unadhani mwenye alivumbua gari alivumbua kila kitu kutoka gurudumu hadi infotainment system? Mibongolala na lack of exposure. kha!
😀 😀 😀 😀What has Africa got to do with it? You claim you have resources and big brains yet you're poorer than Kenya that has less resources than you.
Alafu hii ni shule ya Kijijini, ile yake ipo mjini tena mji wao mkubwa. 🤣 🤣Kwa hivyo unataka tubomoe shule kama hii tujenge kama hio yenu ama? 🤣 🤣 🤣
That's high technology. Changing hand movement to speech is not something Vumbistanians can do. So rich coming from people who celebrate someone digging in the ground for gold as high technology. Wacha wivu.Kufanya maboresho kwenya glove isn't something to brag about.
We spent over a half-century, using our own resources and at the expense of our own wellbeing to liberate Africa. Ungejiuliza iwaje mpo mlipo leo na hakuna mlichofanya?What has Africa got to do with it? You claim you have resources and big brains yet you're poorer than Kenya that has less resources than you.
You keep whining about this liberation of Africa as an excuse yet your economy was bigger than Kenya's until 2005. Which country did you liberate in 2005 that made us overtake you in GDP and even widened the gap to over $30B ?We spent over a half-century, using our own resources and at the expense of our own wellbeing to liberate Africa. Ungejiuliza iwaje mpo mlipo leo na hakuna mlichofanya?
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1731674083937407171
View: https://x.com/TZSpokesperson/status/1162338963161604096
Good question. 🤣 🤣 🤣You keep whining about this liberation of Africa as an excuse yet your economy was bigger than Kenya's until 2005. Which country did you liberate in 2005 that made us overtake you in GDP and even widened the gap to over $30B ?
Hali ya uchumi ilikuwa mbaya sana ni ukubwa tu wa shilingi na ndio maana tulipo devalue shilingi yetu ikawa rahisi na nyie na GDP yenu uchwara kuonekana kubwa.You keep whining about this liberation of Africa as an excuse yet your economy was bigger than Kenya's until 2005. Which country did you liberate in 2005 that made us overtake you in GDP and even widened the gap to over $30B ?
Wivu upi wewe mla matikiti ya road?That's high technology. Changing hand movement to speech is not something Vumbistanians can do. So rich coming from people who celebrate someone digging in the ground for gold as high technology. Wacha wivu.
Umesema tumewashinda uchumi kisa mlikomboa nchi za Africa, nimekujibu kwamba uchumi wetu ulishinda wenu mwaka wa 2005. Sasa sahii unarudi kwa sijui shilingi kudevalue. Hivi unajielewa kweli? Shilingi kudevalue is just a sign of economic downfall, not the cause. Wewe nijibu ni nchi gani mlikomboa mwaka wa 2005 ndio tukawashinda uchumi?Hali ya uchumi ilikuwa mbaya sana ni ukubwa tu wa shilingi na ndio maana tulipo devalue shilingi yetu ikawa rahisi na nyie na GDP yenu uchwara kuonekana kubwa.
Gas ya mavi ya ng'ombe au ya binadamu??Enyewe ushamba ni mbaya. 🤣 🤣 🤣 Ile shule nilisomea high school walikua wanatumia gas na sikuwai ona ikiwa kitu ya maana. Kumbe ni jambo la kushangaza huko bongoslum. 🤣🤣🤣
Unalazimisha kitu kisiwe hi-tech kisa wivu. 🤣 🤣Wivu upi wewe mla matikiti ya road?